uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuamini ukristo na uislam wakati vimejengwa kwenye uongo?

    Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha. Hakuna ubishi. Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad. Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa. Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu. Hakuna ubishi, waislam hata...
  2. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Uongo unaendelea kushamiri na kumpora Field Marshall John Okelo heshima yake stahiki

    Katika maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, jina la Sheikh Abeid Amani Karume linabaki kuwa nembo ya maono jasiri yaliyobadilisha visiwa vya Karafuu katika Bahari ya Hindi. Kama kiongozi wa Mapinduzi ya mwaka 1964, Sheikh Karume aliongoza mabadiliko makubwa yaliyovunja mizizi ya...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kiimani: Majanga ya moto yametokea nchi nyingi sana

    https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu. Hizi nchi zimewahi pata...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wenje usipotuambia COVID-19 na Abdul wamemchangia Mbowe kiasi ngani kati ya hizo 250m. Tutaamini uongo wa Lissu akikujibu.

    Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania HAKUNA NJIA HAPA: Ni uongo ambao hauna sababu.

    Ukiona sehemu imeandikwa HAKUNA NJIA HAPA. Ujue ni waongo hao walioandika. Njia ipo ila hawataki upite. Kama hakuna njia hamna sababu ya kuandika. Itaonekana tu kuwa hakuna njia. Why paandikwe? Umewahi mwona mtu anaamua tu kukatiza kichakani na njia ipo? Umewahi mwona mtu anafika ferry kisha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
  7. Mha NUZI wangu

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu; ijapokuwa ukweli huuma lakini uongo huuma zaidi

    Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Nilisikia wanasema Msigwa amenilipia ukumbi wa Mlimani City. Maneno ya Msigwa ni ya bure na ya uongo kabisa!

    Wakuu, Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Yesu mwenyewe wala mitume wake hawakupewa fungu la kumi(zaka). Ninyi wahubiri wa leo mmpetoa wapi mafundisho hayo ya uongo na wizi?

    Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala hakuna popote kwenye maandiko ya kikristo (Agano Jipya) kumesema utoe fungu la kumi. Mtume Paulo...
  12. Shanily

    JamiiForums Tanzania Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

    Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi. Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CCM wanaishi kwa Uongo, Na hii ndo laana Kuu itakayoliandama hili Taifa milele CCM likiendelea kuwa chini ya CCM

    Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho. CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gekul afika kwenye Madhabahu, adai tuhuma za unyanyasaji "Ule ni Uongo"

    Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuunda Tume ya Kariakoo ni uongo mwingine!

    Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  19. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke. Kama yupo nikumbusheni. Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
Back
Top Bottom