Wakuu hii imenitokea mimi. Kuna manzi niliona ni wife material ikabidi nimtokee. Hakunizungusha sana kunikubali ila changamoto ikaja kwenye kumtafuna. Kwa muda mrefu binti alikuwa anakataa katakata kufanya mapenzi kiasi kwamba tukawa tunaishia mabusu na mambo mengine madogo madogo. Alikuwa akidai yeye ni bikra na atanipa mzigo baada ya ndoa. Tulibishana sana ila nikajiambia muda ndo hakimu wa haki. Ukweli utajulikana tu bila kutumia nguvu.
Sasa majuzi kaja geto tukapiga romansi na nikashangaa manzi kanivulia na kuniruhusu nichakate. Kweli nikapiga. Bikra haikuwepo. Kiukweli nilipiga bao moja tu na kuingia kwenye mawazo mazito mno kwamba kwa muda wote huo mimi nilikua bwege na kuna wahuni walikuwa wanapiga. Ingekuwa wewe ungesamehe na kuendelea na mipango ya kuja kuoana au ungemwacha?