Pyeee😄Kuna mmoja hapa na macho ya kawaida tu, bas nikamwambia unamacho mazuri sana natamani niwe nakuangalia mara zote, eeh basi anajua ni kweli amekaa anayazunguusha zunguusha kumbe hakuna maajabu yoyote.
How possible?
Haha😂Kama mm mkuu,kuna pisi moja sura ka ukuni niliitania kua ikicheka ni Wema sepetu mtupu,Basi babako Kila nikikutana nayo manzi inatabasamu mpaka sio poa,(tatizo alikuwa akitabasamu ni kama analia).
ALIHAMA mkoa bt Kila nikiwaza naumia kwann nilimdanganya
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂,,,mtatuua kwa uongo nyie viumbeKama mm mkuu,kuna pisi moja sura ka ukuni niliitania kua ikicheka ni Wema sepetu mtupu,Basi babako Kila nikikutana nayo manzi inatabasamu mpaka sio poa,(tatizo alikuwa akitabasamu ni kama analia).
ALIHAMA mkoa bt Kila nikiwaza naumia kwann nilimdanganya
Ukikua utaacha😆Daah 😂 mm bado Mtakatifu sana kwenye mambo ya mapenzi mana hata kudanganya siwezi
Taratibu basi .. sio jukwaa la kutuzalilisha bana 😂😂🙌🙌🙌Ni kama wao wanavowadanganya kuwa mnaweza kupiga miti kumbe ni unafiki tu ur nothing
Kama ukuaji wnyw ndio huu 😂 bc sitaki kukuaUkikua utaacha😆
Sisi wa kimoja chali tena dkk moja tunadhalilishwa 😂Taratibu basi .. sio jukwaa la kutuzalilisha bana 😂😂🙌🙌🙌
Stuqid kabisa sijui wanatuchukuliaje hawa 😂😂😂Sisi wa kimoja chali tena dkk moja tunadhalilishwa 😂
Bloo naomba unitafutie pisi moja aina ya wale wenye kichuguu alafu chchu ndogoDaah 😂 mm bado Mtakatifu sana kwenye mambo ya mapenzi mana hata kudanganya siwezi