unyanyasaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Dr. Dre ashtakiwa kwa madai ya unyanyasaji wa Mwanasaikolojia wake, adaiwa fidia ya Tsh. Bilioni 27.2

    Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na Unyanyasaji aliyekuwa Mshauri na Msuluhishi wa Ndoa yake. Dkt. Charles J. Sophy amedai mwaka 2018, Dre...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sean 'Diddy' Akabiliwa na kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono kabla ya kusikilizwa kwa kesi za awali

    Hii achatuseme kwamba kazini kwa Diddy kuna kazi. Kesi zinazidi kumiminika zinazomuhusu yeye hadi sasa ni maumivu kwake na je atazishinda zote kesi hizi? ================== Mkali wa Hip-Hop wa Marekani, Sean “Diddy” Combs anatuhumiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo waambiwa watoe taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa Kijinsia na unyanyasaji

    Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" iliyofanyika Septemba 25, 2024 katika uwanja wa Ruanda...
  4. gstar

    JamiiForums Tanzania P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono

    Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu. Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"

    Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ndani waundiwe taasisi ndani ya Ustawi wa Jamii kupunguza unyanyasaji

    1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku. 2. House girl ahusishwe kwenye shughuli za kujumuika kifamilia - Kuanzia Kula pamoja, kutoka out, kwenda kanisani/ msikitini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

    Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
  8. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uporaji viwanja vya michezo vya Shule, ni unyanyasaji wa watoto

    Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi. Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Argentina atuhumiwa kwa kosa la Unyanyasaji

    Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43) Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Imane Khalif Aushitaki Mtandao wa X dhidi ya Unyanyasaji Mtandaoni

    Imane Khelif (25) mwanabondia kutoka Algeria amefungua kesi ya madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki Agosti 9, 2024 Miongoni mwa watu waliotajwa katika kesi hiyo ni Elon Musk na JK Rowling kulingana na Mwanasheria wa Imane Khelif, Nabil Boud Aidha...
  12. Son of Gamba

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

    Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke. Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni

    Tunahangaika sana na Jeshi la Polisi kukimbizana na waarifu wanaofanya vitendo hivo. Lakini Binafsi, Sina hakika sana kama Kuna Sheria na kanuni ambazo zinaenda Moja Kwa Moja KUMLINDA MTOTO. Inawezekana Kuna Sheria, ila naamini ni Sheria za kiujumla. Dunia imebadilika sana, inaenda Kasi...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

    RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar 1. Usuli Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

    Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu, Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya? Weka maoni yako!
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Unawafundishaje Watoto wako kuhusu Athari za Unyanyasaji wa Kijinsia?

    Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake. Anaeleza “Wanaume...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kulikoni! kesi za ulawiti na unyanyasaji kushamiri lakini wahalifu hawapewi adhabu kali?

    Kuna nini nyuma ya pazia kwanini kesi za ulawiti na unyanyasaji kwa watoto zimeshamiri lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali? Inawezekanaje mtoto wa miaka 4-15 kulawitiwa au kuingiliwa na watu wazima kila mara lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali za kutisha? Au siku hizi...
  18. Mc Justine Mwakibiki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tufanye nini ili kudhibiti vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika jamii?

    Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana na faida za ngono. Wakati mwingine unyanyasaji huu muathirika, anaweza kutendewa kutokana na hali ya...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira umekuwa ni wa unyanyasaji na uzalilishaji

    Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna...
  20. vanus

    JamiiForums Tanzania Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
Back
Top Bottom