Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile.
Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri.
Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
Natumaini mu-wenye afya njema. Poleni na mapambano ya kila siku. Ni mara yangu ya kwanza kuandika katika jukwaa hili hasa baada ya kuwa nasoma maandiko mengi tu ya wadau mbalimbali yanayohusu mambo mengi katika jamii zetu.
Ni jukwaa pendwa pia kuwazungumzia watanzania wenzetu ambao wanashindwa...
Kutokana na skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, zaidi ya waumini 520,000 walitangaza kuachana na kanisa katoliki kwa mwaka 2022, hili ni ongezeko la 44% ukilinganisha na waliojitenga na kanisa mwaka 2021 ambao walikua 360,000.
Kwa ujumla kwa mwaka 2022 waaumini zaidi ya 900,000 kutoka...
Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15.
Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s.
She was awarded $5 million total in damages.
The jury, made up of...
Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni HAPANA. Sasa hivi kuna vijana takriban 600,000 wanasaka ajira. Je tuna uwezo wa kuwapa wote hawa fursa ya...
Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake.
Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity.
Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold.
It's very painful.
Ripoti ya Shirika la Utangazaji la TVN limeripoti kuwa, Hayati Papa John Paul II alijua kuhusu unyanyasaji wa watoto katika Kanisa Katoliki la Nchini Poland miaka kadhaa kabla ya kuwa Papa na alisaidia kuficha taarifa hizo.
Michal Gutowski, mpelelezi wa ripoti hiyo, alisema Papa alijua kuhusu...
Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014.
Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yaliyokuwa yanamkabiri ikiwemo unyanyasaji wa kingono dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake.
Taarifa kutoka Polisi wa Greater Manchester ni kuwa hawatotoa maelezo mengi zaidi licha ya kuwa kesi hiyo ilikuwa na mvuto kwa Media lakini kujiondoa kwa Mashahidi...
Wakuu habari za asubuhi?
Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa mzima.
My Take: Kumekua na unyanyasaji wa Wakenya dhidi ya wa Tanzania kwa muda mrefu sana. Tangu...
Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023.
Umuzi huo umetokana na kifungo cha miaka 30 ambacho Kelly anatumikia baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine za Ulanguzi...
Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea.
Alves (39), anadaiwa kumshikashika na kumpapasa mwanamke mmoja bila ridhaa yake katika ukumbi wa muziki, Desemba 2022, tuhuma...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good.
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na...
Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto.
Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
Habari za jion
Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi
Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa Dar, siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospitali. Bhana muda ulipofika nikaomba ruhusa kwa...
Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja.
Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
Mama huyu ni mpumbavu sana, anaanzaje kumkatili mtoto kiasi hiki?
Mtoto siku yake ya kuzaliwa ni siku ya furaha lakini kinachofanyika hapa ni tofauti kabisa.
Mtoto anavutwa, anawekwa sakafuni kwa nguvu, anamwagiwa maji yabaridi na analia kwa nguvu kuonyesha kuchukizwa na kinachoendelea lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.