unalala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uzi ulitaka kuandika kisha ukaghairi na kuachana na kuuandika?

    mimi kwa wastani nina nyuzi 17 ambazo hua nina andika kisha ninazifuta kabla ya kuzipost. hata uzi huu nilishawai kijaribu kuandika wiki kadhaa zilizopita, kabla ya leo tena kuufikiria.. leo ni wasaa wa kuandika nyuzi ambazo ulizifikiria na ukaona haina sababu tena ya kuendelea nayo, nami...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  4. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

    Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama! Nikawa najiuliza nimepatww na nini? yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳…. Sasa juzi homa imechochea leo nimeendaa naambiww nina UTI. Je, ni kawaida?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kama unalala chini pitia hapa

    Wadau humu, kuna kitu nataka kushare na nyie.Sijui kama na wengine hii hali upitia au lah!!! Nimekuwa na tendency ya kuamka usiku kama saa kumi hivi then natoka kitandani na kulala chini hadi ile saa 12 ninapo amka,sasa sijui ni kitu cha kawaida au kuna namna
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

    Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo. Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana. Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwanini unalala sasa hivi, wakati ipo siku utalala moja kwa moja?

    Ipi ni sababu inayokufanya ulale sasa hivi? Unalala kwa sababu giza limeingia, au Unalala kwa sababu ya uchovu, au Unalala kwa sababu huna pa kwenda, au Unalala kwa sababu huna wa kukesha naye, au Unalala kwa sababu umelazimishwa, au Unalala kwa sababu huwezi kwenda viwanja, au Unalala kwa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unalala saa ngapi kwa siku? Ona madhara ya kutolala vizuri

    Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku. Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
Back
Top Bottom