unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Neno pole ni maficho ya unafiki

    Hili neno linatumika kama maficho ya ubaya na unafiki wa wanadamu. Binafsi sipendi kupewa hili neno hata kama nimepatwa na matatizo makubwa kiasi gani kwa sababu yeyote anaweza kulitamka na huwa linanirudisha kwenye hisia za matatizo yaliyonipata. Ni Bora kutumia mbinu mbadala ya kuonesha...
  2. Akijifanya anakupenda we jifanye unamwamini unafiki ubaki pale pale 😂

    Uungwana ni kwenda na flow mtu anakudanganya we mtazame tabasamu ooh babe unajua siwezi kukucheat itikia sawa, anakusaliti kusanya data zako kaa kimya siku unalipua bomu "CAN WE TALK" hakuna haja ya kuwa na stress. Aya mapenzi ni maradhoni sijuw watu wanatk nn ukionesha kumpenda mtu unaanza...
  3. Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  4. Kamwe Kanisa Katoliki haliwezi badilisha msimamo kwa unafiki wa Imani kwa yeyote yule iwe jana, leo na hata milele

    Hello JF Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale...
  5. R

    Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

    Habari wana jf, habari za siku nlihamia kidogo jukwaa la michezo maana mambo ya siasa yamekuwa ya moto kweli . Nimekutana na comments nyingi kuhusu Slaa kwamba haaminiki upande wa upinzani hivi katika mazingira haya wa kumwamini ni nani ? Upinzani au Dkt. Slaa? Na tulitegemea afanyaje...
  6. Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Wana Jukwaa Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui! Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium...
  7. Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

    Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.
  8. SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  9. Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  10. Ni unafiki kuhudhuria Misibani

    Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
  11. Unafiki unaoletwa kwenye Mambo ya Mila na Desturi

    UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
  12. Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  13. Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  14. Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi. Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
  15. Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
  16. Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! 👇👇👇 Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  17. Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli? Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
  18. Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  19. Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe. Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
  20. TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…