Neno pole ni maficho ya unafiki

Kiplayer

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,000
1,571
Hili neno linatumika kama maficho ya ubaya na unafiki wa wanadamu. Binafsi sipendi kupewa hili neno hata kama nimepatwa na matatizo makubwa kiasi gani kwa sababu yeyote anaweza kulitamka na huwa linanirudisha kwenye hisia za matatizo yaliyonipata. Ni Bora kutumia mbinu mbadala ya kuonesha kuguswa na majanga ya wenzetu.
 
Pole kwa kulichukia neno Pole
 
Back
Top Bottom