Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

Mzee pumzika sasa hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa Nguo kwa Unavyolitetea hovyo.

Afadhali sasa umejua mkataba wao ni wa kihuni maana mwanzo uliwatetea ukijua watarekebisha lakini hua hawasikii hao, mkoa wa Mara ni mkoa wenye heshima yake tena wenye wanaume wenye msimamo, tunapoona Mzee wenu Wassira anajiaibisha kisa viposho vidogodogo tunamshangaa
 
Mzee pumzika sasa hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa Nguo kwa Unavyolitetea hovyo.
Huyu kinachomsumbua ni Tamaa hapo hapo anataka heshima , niliwahi kusema .tamaa na heshima HAVIKAI pamoja , si ana jengo nyuma ya stend atulie . Mtu serikali zote kapiga chapuo .duuuu anatia aibu c ana mke na watoto si wamwambie aache
 
Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.

MZEE WENU ANATIA AIBU UMRI ULE SIO WA KUWA MNAFIKI NA UCHAWA ISHAURINI FAMILIA YAKE IMWAMBIE MZEE WAO APUMZIKE CCM INAMTUMIA TU
dw_kiswahili_1690475383281539.jpg
 
Yaani anatia aibu sana haoni wazee wenzake wamekaa tu kimya wanatazama chama kimfie huyu mama ambae in reality HANA CHA KUPOTEZA coz hata kukipigania tu chama HAJAWAHI!
 
Back
Top Bottom