Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,552
Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.

Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.

Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?

Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.

ZBC Pia hii inawahusu.
 
Unafiki ni jambo baya, na huo uislam unakemea hilo jambo.

Wao kama hawataki pombe waseme tu hatutaki wasijifiche kwenye mwamvuli wa dini, vinginsana wanafanya kwenye dini hairuhusiwi.
Dini haitaki double standard
Nikweli kabisa.
 
Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.

Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.

Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?

Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.

ZBC Pia hii inawahusu.
Punguza chuki mkuu, Ile ni investment ya watu ,they have rules and regulations for their help,unazan tbl na sbl hawamudu matangazo Azam,af mbna washkaj wanajitoa Sana kimisaada na mengineyo ok endelea kuconnect dots na Mambo ya Gaza mkuu
 
If

Tu can ,kill all Muslims in Tanzania mainland Anza namm npo makambako hapa
 
Punguza chuki mkuu, Ile ni investment ya watu ,they have rules and regulations for their help,unazan tbl na sbl hawamudu matangazo Azam,af mbna washkaj wanajitoa Sana kimisaada na mengineyo ok endelea kuconnect dots na Mambo ya Gaza mkuu
Hakuna chuki, ni ukweli, bora asingetoa kigezo cha dini.
 
Back
Top Bottom