Watanzania na unafiki wa kimkumbo

Watanzania na unafiki wa kimkumbo

PeterwaPerer

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
275
Reaction score
309
Nimekuwa mkubwa sasa na ninaweza kuyaona mambo kwa upande wa nyuma tofauti na wengi wanavyotazama

Matango pori ninayang'amua mapema kabla hayajaniteka kama baadhi ya Watanzania wa sasa walivyo.

Wanapenda kucheza midundo ambayo hata hawajui uelekeo wake ni upi, lakini unaweza kuwaelewa kwa sababu wamevimbiwa uhuru na amani iliyopo na ni hulka ya binadamu yoyote kila alichonacho binadamu hukidharau na kudhani asichonacho ni bora hata kama kina manundu

Anyway nirudi kwenye observation ninayotaka kuiwasilisha hapa kuwa Watanzania hasa wa kizazi hiki ni wanafiki kwa kiwango kikubwa kabisa

Tawala mbili hizi za karibuni zinathibitisha hilo kwa uwazi kabisa

Wakati wa JPM a.k.a Jiwe la pembeni asilimia kubwa ya Watanzania walinung'unikia na kulalamikia kuhusu KIKOSI KAZI na mambo mengine ambayo yalifanywa ili kuwafuatilia kila kitu kwa karibu.

Wakati huu hakuna kitu kama hicho ila Watanzania hao hao ambao wamepunguziwa jaka moyo hilo na mambo mengi ya kukarahisha na kukera kutoweshwa na bado wamekuwa walalamishi na wengine wanadiriki kabisa kudai bora utawala uliopita

Hitimisho langu ni kiwa Watanzania ni watu wasiopenda kuwajibika kwa maana ya kuwa Mtanzania akiwa muhusika wa jambo anapenda au anaona haki kuonewa huruma ila asiyehusika ndio anamshikia bango ili aangamizwe, na verse versa

Mh Makonda alisema ukiona Mtanzania anaongea ujue hajapewa tonge/jikoni na mifano hai ipo

Wasalam
 
Wallah tena! Umshukuru sana Mola wako kwa kukujalia walau akili kiduchu ya kukuwezesha kula, kuendea uani kukata gogo, na kuvukia barabara.
 
Unachekesha Wewe.

Kichwa cha habari kilikuwa kizuri na nilitegemea hoja zenye mashiko.

Lakini ndani ya Mada umezingua pakubwa.

Nafikiri wewe ni moja ya watu usiojua thamani ya maisha ya Watu hasa ambao sio ndugu zako. Yaani huna UTU
 
Nimekuwa mkubwa sasa na ninaweza kuyaona mambo kwa upande wa nyuma tofauti na wengi wanavyotazama

Matango pori ninayang'amua mapema kabla hayajaniteka kama baadhi ya Watanzania wa sasa walivyo.

Wanapenda kucheza midundo ambayo hata hawajui uelekeo wake ni upi, lakini unaweza kuwaelewa kwa sababu wamevimbiwa uhuru na amani iliyopo na ni hulka ya binadamu yoyote kila alichonacho binadamu hukidharau na kudhani asichonacho ni bora hata kama kina manundu

Anyway nirudi kwenye observation ninayotaka kuiwasilisha hapa kuwa Watanzania hasa wa kizazi hiki ni wanafiki kwa kiwango kikubwa kabisa

Tawala mbili hizi za karibuni zinathibitisha hilo kwa uwazi kabisa

Wakati wa JPM a.k.a Jiwe la pembeni asilimia kubwa ya Watanzania walinung'unikia na kulalamikia kuhusu KIKOSI KAZI na mambo mengine ambayo yalifanywa ili kuwafuatilia kila kitu kwa karibu.

Wakati huu hakuna kitu kama hicho ila Watanzania hao hao ambao wamepunguziwa jaka moyo hilo na mambo mengi ya kukarahisha na kukera kutoweshwa na bado wamekuwa walalamishi na wengine wanadiriki kabisa kudai bora utawala uliopita

Hitimisho langu ni kiwa Watanzania ni watu wasiopenda kuwajibika kwa maana ya kuwa Mtanzania akiwa muhusika wa jambo anapenda au anaona haki kuonewa huruma ila asiyehusika ndio anamshikia bango ili aangamizwe, na verse versa

Mh Makonda alisema ukiona Mtanzania anaongea ujue hajapewa tonge/jikoni na mifano hai ipo

Wasalam
wafuata mkumbo wengi wanaangamia kiuchumi, kijamii na kisiasa kwasababu ya kukosa maarifa,

vyama vingi vya siasa vilivyokosa agenda, mathalani chadema wameamua sasa kutengeneza makundi ya kuporomosha matusi tu mitandaoni baada ya kukataliwa na wananchi tangu kuanzishwa kwake 🐒
 
Nimekuwa mkubwa sasa na ninaweza kuyaona mambo kwa upande wa nyuma tofauti na wengi wanavyotazama

Matango pori ninayang'amua mapema kabla hayajaniteka kama baadhi ya Watanzania wa sasa walivyo.

Wanapenda kucheza midundo ambayo hata hawajui uelekeo wake ni upi, lakini unaweza kuwaelewa kwa sababu wamevimbiwa uhuru na amani iliyopo na ni hulka ya binadamu yoyote kila alichonacho binadamu hukidharau na kudhani asichonacho ni bora hata kama kina manundu

Anyway nirudi kwenye observation ninayotaka kuiwasilisha hapa kuwa Watanzania hasa wa kizazi hiki ni wanafiki kwa kiwango kikubwa kabisa

Tawala mbili hizi za karibuni zinathibitisha hilo kwa uwazi kabisa

Wakati wa JPM a.k.a Jiwe la pembeni asilimia kubwa ya Watanzania walinung'unikia na kulalamikia kuhusu KIKOSI KAZI na mambo mengine ambayo yalifanywa ili kuwafuatilia kila kitu kwa karibu.

Wakati huu hakuna kitu kama hicho ila Watanzania hao hao ambao wamepunguziwa jaka moyo hilo na mambo mengi ya kukarahisha na kukera kutoweshwa na bado wamekuwa walalamishi na wengine wanadiriki kabisa kudai bora utawala uliopita

Hitimisho langu ni kiwa Watanzania ni watu wasiopenda kuwajibika kwa maana ya kuwa Mtanzania akiwa muhusika wa jambo anapenda au anaona haki kuonewa huruma ila asiyehusika ndio anamshikia bango ili aangamizwe, na verse versa

Mh Makonda alisema ukiona Mtanzania anaongea ujue hajapewa tonge/jikoni na mifano hai ipo

Wasalam
Kuongelea utekaji/mauaji yanayofanywa na dola kinyume cha sheria, ambayo ndiyo kero kuu kwa sasa wewe aa aah, hauoni!

Yaani unaona fresh tu au siyo?

Na unakiri kabisa kuwa kwa sasa umekuwa, ajabu sana hii!

Kuongea kwa kuuma uma maneno na kuegemea upande namna hii kinyume na hali halisi huo ni uchawa kamili au uchawa mambo leo yaani ni uchawa ulioboreshwa(neo lice)
 
Back
Top Bottom