unafanyaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  2. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukaanga nyama au samaki bila mafuta kukurukia?

    Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki. Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vehicle Tracking System (VTS) ni nini na inafanyaje kazi

    VTS ni mfumo wa kisatelaiti wa ufuatiliaji mwenendo wa magari barabarani. Mfumo huu unafanana sana na ile mifumo ambayo wengi wameizoea kama Car track au U-truck. Mfumo huu kwa sasa unatumika hapa Tanzania chini ya usimamizi wa LATRA. Kwa kuanzia mabasi 100 ya njia ya kati Dar-Mwanza, Kahama...
  4. To yeye

    JamiiForums Tanzania Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

    Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ukitaka kuangalia account yako ya bank ilikujua imefungiwa au la? Unafanyaje

    Ndugu zangu nina account ya bank ya NMB so nikuwa nataka niicheki bado ipo hai au vipi naombeni msaada wenu kwa wanajua haya mambo
  6. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata copyright ya video ya youtube

    Wakuu vipi nimekuwa nikitengeneza video zangu kwenye pc sasa nataka kuweka youtube je nitapataje copyright ili kuzuia watu kucopy na kupaste. Ukinijuza fanya mimi ni kama mwenye 0 yani sina ujuzi wowote kuhusu copyright kwa anayejua tafadhali sana nijulishe ahsante
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje mapenzi yakikuzingua?

    Wana jamvi habari, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unapokuwa na mpenzi akakuzingua huwa unafanya nini kama mmefikia ile point ya kila mtu afe kivyake. Binafsi huwa napiga buyu tu mdogo mdogo namsahau ila imekuwa tofauti kwa huyu binti. Kila nikitaka kuachana naye nashindwa kabisa...
  8. Joanah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

    Hey people Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress) Niko na mood hii sasa hivi.... Sijisikii kula lakini natamani kula Natamani kulala lakini sina usingizi Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya...
  9. To yeye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukighadhibishwa unafanyaje kupunguza hasira yako?

    Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na kufurahi na mwenzangu ni kama si yeye aliyenikwaza,ila kama sijafanya ivo ujue siku hiyo nimeamua...
  10. LUCKSON MNYENGU

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada hivi ukitaka kupata namba yako ya NIDA unafanyaje?

    Jamani msaada ukitaka kupata namba yako ya nida unafanyaje kwa sasa hivi manake nimejaribu ussd code(*152*00#) imekataa sehemu ya nida siioni.
  11. Red Giant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfumo Vodacom Airtime billing unafanyaje kazi?

    Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
  12. Mung Chris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkeo asipokupenda unafanyaje?

    Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje ukijua bosi wako kazini ni mnafiki dhidi yako?

    Mathalani fikiria hii situation umeajiriwa mahali ila boss wako machoni anacheka na wewe fresh kabisa na hakuonyeshi ubaya wowote ule ila under carpet anakusnichi. Fikiria mazingira yafuatayo. 1. Hakupendekezi kwenye Jambo lolote lenye maslahi na akikupendekeza anakupa vitu vidogovidogo sana...
Back
Top Bottom