TheGreatest Of AllTime
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 173
- 553
Muda muafaka haujafika?
Bado unajipanga?
Hauplan kuishi katika ndoa?
Au bado upo 50 kwa 50 kuhusu uamuzi huo?
Haujapata mdada sahihi?
😁😁Mimi nimeshaoa, kwani Kuna Nini??? Tujuze basi mdau????
Ila una watoto mkuu?Nimetimiza miaka 40 juzi... sijawahi kuoa na sijajua imekuwaje, sijajua sijui kuoa sio fungu langu hata sielewi...
Yeah watoto ninao, ila suala la kuoa sijajua imetoakeaje nimejikuta sijawahi kuoa, halafu huwezi kuamini sijawahi ku-plan imetokea tu, kila nikitaka hata nioe najikuta hata sioi.. I don't know hiyo hali imetokeaje..Ila una watoto mkuu?
mbona ni mazuri tu, hayana presha kuombwaombwa hela kila siku ni kero. Ni maisha mazuri sanaLazima nioe maisha ya kuishi bila mke ni mabaya sana. We need family
Hiyo hali imewatokea Millennials wengi sana. Changamoto huwa ni kipato na uchumi hautoshelezi Kuoa ingawa wadada wa Kuoa wapo wengi kinachokukatisha tamaa ni Kwamba wadada wengi Sasa hivi wapo financially broke unajikuta wewe una afadhali.Yeah watoto ninao, ila suala la kuoa sijajua imetoakeaje nimejikuta sijawahi kuoa, halafu huwezi kuamini sijawahi ku-plan imetokea tu, kila nikitaka hata nioe najikuta hata sioi.. I don't know hiyo hali imetokeaje..