umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004.

    Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
  2. JamiiForums Tanzania Makosa ya Umri wa Miaka 20

    Ni kosa gani la kifedha au kimaisha ulilofanya ukiwa kijana ambalo unatamani ungeliepuka?
  3. JamiiForums Tanzania Harakati za kufikisha umri wa miaka 100

    Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto. Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji...
  4. JamiiForums Tanzania Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

    Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
  5. JamiiForums Tanzania Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  7. JamiiForums Tanzania Kadri Umri Unavyoongezeka, Ndivyo Weekend Inavyokushinda Kimya Kimya

    Ukimuona mtu wa miaka 35, 40 au 50 anasema mimi hizo club nilishaacha zamani usiamini haraka. Mara nyingi si kwamba hataki kwenda, bali mwili unagoma tu. Mimi tu mwenyewe nina miaka 30 tu, lakini mara nyingi huwa nakaa na madogo fulani wa Myanmar tunakunywa kunywa nao whiskey kuanzia saa 1 hv...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Upweke umri wake mwisho lini ?

    Mtu anatakiwa aolewe akiwa na umri gani?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kijana Pele alistaafu kucheza kombe la dunia na umri wa miaka 29 kupinga Udikteta wa Generali Medichi

    Juzi tumeona Davido nyota wa mziki wa Nigeria aki protest jukwaani utekaji na mauaji ya raia nchini mwake. Ni kawaida kwa ma star wanaojielewa. Kijana Pele akiwa na miaka 29 alishinda kombe la dunia mara ya tatu na ya mwisho. Mwaka unaofuata 1971 akastaafu mpira. Baadae akaeleza akasema...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wenye umri wa miaka 30 na kuendelea wanafanya na vijana wa kizazi cha Gen Z wanaona ni ya kushangaza ni pamoja na?

    - Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi. Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  12. JamiiForums Tanzania NI UMRI UPI INATOSHA MTU HAWEZI KUUMIZWA NA MAPENZI

    Kuna changamoto kubwa Sana kwa mtu mzima kuumia au kuteswa na mpenzi, labda alichelewa kuanza mahusiano au changamoto za Kimaisha au kiafya, mimi binafsi kutokana na kujihusisha na mapenzj mapema, nimepitia mishale mingi Sana kiasi ambacho kwa Sasa haiwezekani tena kuumizwa na mpenzi, nishawahi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  14. JamiiForums Tanzania Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

    Yani kuna wakati najisikia niringe au nijivune kwa attention ninayopata, lkn kuna wakati naona kama mwisho wa hili hautakua mwema. nimekua nikitongozwa sana tangu nianze kazi, na wengine ni watu lazima nikutane nao kila siku na wengine wamenizidi cheo. Kwa sasa na kipato cha uhakika nimezidi...
  15. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira: Kuna muda umri unazingatiwa kwenye usaili wa ajira lakini kwanza unatakiwa kufaulu

    Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi. Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026 wakati wakihojiwa kwenye Kituo cha Channel 10 akiwa pamoja na Katibu...
  16. JamiiForums Tanzania Umri wa Kweli na Ufahamu Wako

    Kuna kiwango cha ufahamu ukifika, unashindwa kujibu swali la umri sababu umri unaozungumzwa ni umri wa mwili siyo wako. Wewe mwenyewe umri wako huujui maana hujui kitu kinachoitwa muda. Huwezi tena kusema asili yako ni wapi kwa kuwa unajua kuwa asili yako ni ulimwengu. Wewe na ulimwengu ni kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea? Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji dhahabu feki inavyochangia wanafunzi wengi kuacha masomo na kupoteza maisha katika umri mdogo hapa Bunda na hasa eneo la uswahilin

    Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Eti, kuna umri ambao hawaruhisiwi kufanya starehe?

    Mama huyo kwenye video anasema kuwa hakuna umri ambao hawaruhusiwi kufanya starehe, au kwa wanawake kujiremba nk.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…