Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi
Akizindua Mpango wa Global Vax amesema, "Tumepita katika Mawimbi manne ya UVIKO-19, tunaendelea kufuatulia kwa karibu...