Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.
Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...