EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Ujumbe muhimu kwa Watumishi wa Umma.
Japo kuna baadhi ya watumishi hawatoweza kunielewa nini naamaanisha ila namaanisha kweli.
Kwanza kabisa naomba nieleweke ni hivi mshahara haujawai tosha na wala hautakuja kutosha.
Jambo la msingi ambalo watumishi mnatakiwa kujifunza ni jinsi ya kumeneji mshahara wako. Cash out flow monitoring yako ni muhimu sana ili kuufanya mshahara wako uweze kutosha.
Changamoto iliyopo kwa watumishi walio wengi ni moja tu, watumishi hawezi kumeneji mshahara. They can't monitor their cash out flow.
Watumishi jaribuni kujiongeza pesa mnazolipwa ni nyingi mno, acheni kutumia mishahara yenu vibaya acheni kunywa pombe, acheni kununua vitu vya gharama zinazo zidia mishahara yenu, acheni kukopa, acheni kuishi maisha ya gharama maisha yanayo zidi kipato chenu, watumishi jishughurisheni pia na shughuri zingine katika jamii kama vile kilimo, ufugaji na biashara. Fanya mshahara wako kuwa mtaji kukusaidia kufungua miradi. Acha kuvaa nguo za bei mbaya wakati unajua zinazidia mshahara wako.
Tatizo kubwa linalowakumba watumishi mnajiachia mnoo. Mnaishi maisha ya kukopa tu, utakuta mtumishi, mwezi mzima anaishi kwa kukopa, mshahara ukitoka tu wote anakwenda kulipa deni dukani kisha anaanza kukopa tena. Hayo ndio maisha yake.
Aina hiyo ya maisha niliyo izungumzia hapo sio nzuri na kamwe hutakuja kuona mshahara ukitosha hata mara moja, hata kama ungelipwa milioni 200 kwa mwezi, wewe usiyejua kumeneji mshahara, huwezi ku monitor cash out flow utaishia kuhonga mamilioni, kununua gari ya gharama, kununua mavazi gharama, na kuishi maisha ya gharama bado utarudi palepale kwenye mshahara hautoshi.
Mwisho: Spend what you save and don't spend what you earn.