Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
EWURA imetangaza bei mpya za mafuta Tanzania kwa mwezi July. Ni bei kikomo na bei elekezi.. Maumivu ni kwamba mafuta yamepanda tena bei, kwa hiyo vilio zaidi vinakuja.

Hapa kuna kitu cha kushangaza mno kuhusu serikali yetu, na watu inaowaamini katika kutoa maamuzi...Hivi kuna haja gani ya kutoa ruzuku wakati serikali ingeweza kupunguza tu kodi ya mapato kwa kipindi hiki, huku pia ikipunguza ama kufuta kabisa tozo kwenye mafuta zinazofikia 21 toka organs za serikali? Ambapo baadhi ya organ hizo majukumu yake yanaweza kubebwa na organs nyinginezo?

Kuna nini kinafichwa hapa? Kuna nini kinalindwa hapa? Organs husika ni za serikali, ruzuku inatoka serikalini.. Sasa kujisumbua kote huku kunatokana na nini? Haioni ni kumtaabisha tu mwananchi wa kawaida na kumuongezea mzigo wa maisha magumu tayari aliyonayo!?

EWURA wamekuja na jedwali linaloonesha bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku ili kutuaminisha kwamba serikali imefanya kitu kumsaidia mwananchi. Kama hakuna agenda ya siri hapa basi huu ni uono hafifu mno. Kwenye duru za miamala ya fedha kutoa/kupunguza kuna faida nyingi kuliko kuongeza ama kujazia.

Yaani ni sawa na kuwa na mikono miwili kisha ukaanza kuitaabisha kwa kutoa pesa mfuko wa kulia na kupeleka mfuko wa kushoto na kinyume chake.. Hapo hakuna kitu bali ni michezo ya namba tuu.. Na kwenye kuchezesha hizo number kuna watu wanafaidika kwa kiwango kikubwa mno.

Serikali haimjali mwanamchi. Haimjali kabisaa. Serikali inajali maslahi ya taasisi zake tuu na faida ya wafanyabiashara wa mafuta. Vyovyote namba zitakavyochezeshwa faida ya mfanyabiashara inabaki palepale.. Huyu ni mungu mtu anayelindwa sana.

Chezesha namba kwa kupunguza kodi ya mapato na kufutilia mbali tozo za michongo uone kama mafuta hayatashuka kufikia chini ya 2500 kwa lita. Lakini kuchezesha namba kwa kuweka ruzuku ni upigaji mwingine wa aina yake na kutufanya sisi majuha sana.

Piga hesabu ya matumizi ya mafuta kwa siku kisha kwa mwezi uone hiyo hesabu yake, halafu linganisha na hiyo ruzuku ya million 100 uone jinsi watu wanavyolamba asali kwa vidole vyote.

Hebu ona wafaidikaji wa mafuta pindi yanapotua bandarini, ambapo mwisho wa siku mzigo mkubwa unaenda kwa mwananchi na si serikali ama mfanyabiashara.

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita
 
Serikali kutoa ruzuku ya billion 100 kwenye mafuta, haikuweka wazi kwamba hio ruzuku ni endelevu au ni ya mwezi mmoja tu au itafanywa kwa mgawanyiko wa kila mwezi au ni ya muda gani.

Kama ni ya mwezi mmoja tu, basi imeshapita. Sasa tujiandae kupigwa na kitu kizito kichwani kwenye bei ya mafuta.

Hapo ndio tatizo lilipo!

NOTE THAT; Kama serikali ikifuta hizo kodi za mafuta, basi kila kitu kitashuka bei. Maana gharama zote za usafiri wa vyakula na abiria utashuka kwasababu mafuta yatashuka bei.
 
EWURA imetangaza bei mpya za mafuta Tanzania kwa mwezi July .. Ni bei kikomo na bei elekezi.. Maumivu ni kwamba mafuta yamepanda tena bei, kwa hiyo vilio zaidi vinakuja

Hapa kuna kitu cha kushangaza mno kuhusu serikali yetu, na watu inaowaamini katika kutoa maamuzi...Hivi kuna haja gani ya kutoa ruzuku wakati serikali ingeweza kupunguza tu kodi ya mapato kwa kipindi hiki, huku pia ikipunguza ama kufuta kabisa tozo kwenye mafuta zinazofikia 21 toka organs za serikali? Ambapo baadhi ya organ hizo majukumu yake yanaweza kubebwa na organs nyinginezo?

Kuna nini kinafichwa hapa? Kuna nini kinalindwa hapa? Organs husika ni za serikali, ruzuku inatoka serikalini.. Sasa kujisumbua kote huku kunatokana na nini? Haioni ni kumtaabisha tu mwananchi wa kawaida na kumuongezea mzigo wa maisha magumu tayari aliyonayo!?

EWURA wamekuja na jedwali linaloonesha bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku ili kutuaminisha kwamba serikali imefanya kitu kumsaidia mwananchi. .. Kama hakuna agenda ya siri hapa basi huu ni uono hafifu mno... Kwenye duru za miamala ya fedha kutoa/kupunguza kuna faida nyingi kuliko kuongeza ama kujazia,..

Yaani ni sawa na kuwa na mikono miwili kisha ukaanza kuitaabisha kwa kutoa pesa mfuko wa kulia na kupeleka mfuko wa kushoto na kinyume chake.. Hapo hakuna kitu bali ni michezo ya namba tuu.. Na kwenye kuchezesha hizo number kuna watu wanafaidika kwa kiwango kikubwa mno

Serikali haimjali mwanamchi .. Haimjali kabisaa... Serikali inajali maslahi ya taasisi zake tuu na faida ya wafanyabiashara wa mafuta.. Vyovyote namba zitakavyochezeshwa faida ya mfanyabiashara inabaki palepale.. Huyu ni mungu mtu anayelindwa sana ...

Chezesha namba kwa kupunguza kodi ya mapato na kufutilia mbali tozo za michongo uone kama mafuta hayatashuka kufikia chini ya 2500 kwa lita..Lakini kuchezesha namba kwa kuweka ruzuku ni upigaji mwingine wa aina yake na kutufanya sisi majuha sana

Piga hesabu ya matumizi ya mafuta kwa siku kisha kwa mwezi uone hiyo hesabu yake, halafu linganisha na hiyo ruzuku ya million 100 uone jinsi watu wanavyolamba asali kwa vidole vyote

Hebu ona wafaidikaji wa mafuta pindi yanapotua bandarini, ambapo mwisho wa siku mzigo mkubwa unaenda kwa mwananchi na si serikali ama mfanyabiashara

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

View attachment 2282188

Mkuu Mshana Jr kunywa maji mengi moyo uelee ili kusudi uwe na stamina kwa mambo yajayo ya kuogofya.
 
Niko Kahama hapa naelekea Bujumbura kama tulivyoagizwa na mchumi wetu mwenye first class na PhD ya uchumi.

"Kama hakuna mikate si mle keki?". Dharau ya malkia Antoinette na mumewe ikawafanya hatimaye wakaishia kunyongwa na umma....

"Kama maisha ni magumu si mhamie Burundi?"
 
Ha ha ha ha ha
 
Chazo kikubwa cha mapato serikalini ni mafuta... Kwa hyo wanaogopa kupunguza kodi kwa maana watapoteza ela nyingi sana kwenye mapato na watashindwa kula asali..

Ni aibu na fedhea nchi yenye watu zaidi ya mili60 inategemea kodi ya mafuta kwa ajili ya kuendesha nchi..

Serikali kama imeshindwa kutafuta vyanzo vingine vya mapato ni bora waombe ushauri kwa wanauchumi.. Husasa watafute hawa na professor wa vyuoni na wakina kimei.. Watoe ushauri

Back
Top Bottom