MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,686
- 31,470
Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma.
Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo.
Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika.
Vipo viashiria vingi vya ustaarabu, kimoja wapo ni kuzuia tamaa, kuwa watu honest na kupenda nchi yako. Jamii inayofanya kazi kwa bidii kwa manufaa yake na vizazi vijavyo, kiwango cha ustaarabu ni cha hali ya juu.
Ukichunguza, wezi wengi wa malii za umma ni wale watu wanao tanua mabarabarani, wasiotaka kupanga foleni ili kupata huduma, wasio fuata utaratibu mitaani na maofisini, hawa flash vyoo , hawaendi kwenye nyumba za ibada, wana michepuko iliyowazidi akili na maarifa, wamelelewa kwenye ufukara, broken family, hawana stable relationships, ni watu wenye msongo mkubwa wa mawazo na mara nyingi mwisho wao huwa mbaya sana.
Aidha, kwa umakini, ukifuatilia IQ za wezi wa mali za umma ni ndogo sana. Serikali inafanya kazi na makaratasi, hakuna namna unaweza kuiba mali au pesa za serikali without leaving a trace. Basically, utajulikana tu, its just a matter of time.
Pamoja na mambo mengine, huwezi kupata baraka wala amani baada ya kuiba mali za umma. Kilio cha watanzania wanyonge kinamfikia mwene-enzi Mungu kwa haraka sana na wezi wote wa mali za umma wanaaibika na kuishi maisha mabaya yasiyo na furaha.
Tuache wizi na dhuluma, tuipende nchi yetu.