umeme

  1. JamiiForums Tanzania Je, huu mchezo wa kuwasha na kuzima switch za umeme kama mtoto anachezea, maana yake nini?

    Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy. Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Ulisema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!" Una habari Kuna mbuzi wana kamba moja tu!

    Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..? Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..? Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Umeme wa REA kiukweli umeleta changamoto sana kwa baadhi ya waombaji wapya wa Umeme

    Pamoja na serikal ilifanya vizuri kuja na mradi wa kuleta umeme katika maeneo ya mbali na mijin Kwa maoni yangu naona bado katika baadhi ya utekelezaj wa mradi hii watekelezaji walivurunda sanaa hasa katika swala la kuzingatia uwekaji nguzo katika mipaka baina ya kiwanja kimoja na kingine...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mbona Mwanza Mgao wa umeme unaendelea?

    Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru umeme bado wa shida Tanzania

    Inasikitisha sana kuona jinsi shirika hili linavyoendeshwa.Miaka 60 ya uhuru lakini bado umeme ni wa shida hapa nchini. Mbaya zaidi hakuna anayewajibika au kuwajibishwa. Waziri mhusika ndiyo kwanza anatumia chopper kukagua vyanzo vya maji na kusema Tanzania nzima hakuna Crane ya kuweza kubeba...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la mita ya umeme na rimoti kutokuwa na mawasiliano (LUKU)

    Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302. Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza. Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari. TANESCO
  7. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  8. JamiiForums Tanzania Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

    Habari za majukumu! Kuna mgao unaendelea hapa Arusha, Umeme unakatwa asubuhi unarudi saa moja kasoro usiku. Tanesco kwanini wasituambie shida ni nini? Mlituaminisha mgao uliopita ni sababu ya kufanya maintenance, ni juzi tu mkatangaza maintenances zimeisha sasa hii ni nini?Nadhani kuna mahali...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba jiuzulu, siku 10 za mgao wa umeme kupisha marekebisho zilishaisha ila umeme bado unakatika

    Inashangaza sana kuona kiongozi wa Wizara nyeti kiasi hiki anatangaza mgao wa siku 10 akiaminisha wananchi kwamba marekebisho yanafanyika na baada ya hapo umeme utakuwa sawa Cha kushangaza hata baada ya muda huo bado umeme ni wa kusua sua.Je ni sahihi kusema kwamba kazi haikufanyika? Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mwambieni Rais Samia amalizie mradi wa umeme wa mto Rufiji

    Najua utekelezaji wa mradi huu umeshuka Sana kwa Sasa! Hadi mwaka huu tungekuwa kwenye hatua za Mwisho za utekelezaji wa mradi huu! Lakini hakuna cha maana Hadi Sasa! Mkumbuke ni fedha za kodi za watanzania ndio zilizozikwa kwenye huo mradi! Je mmekubali kweli fedha zetu zizikwe na mradi iende...
  11. JamiiForums Tanzania Nipo kiwandani Mtibwa, Turiani; umeme umekatika mara kumi toka saa kumi na mbili mpaka muda huu

    Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni Siasa? Tanesco? Maji? Gesi? Mitambo chakavu? Hujuma? Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
  12. JamiiForums Tanzania Spare za Tv, Radio, Computer na nyingine zinazofanana na hizo

    Wasalaam Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
  13. JamiiForums Tanzania (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  14. JamiiForums Tanzania Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

    Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko kawaida, wanakata asubuhi saa 12 wanarudisha jioni saa 12 na nusu. Masaa zaidi ya 12. Niseme wazi siku zile 10 za mgao zilizotolewa sikuwa na kazi nyingi sana hivyo wala sikuona kama ni issue sana na wala sikuathirika. Balaa lipo wiki hii nina kazi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme ushauri 2kva Stabilizer kushindwa kubeba water pump 1hp (750w) na ku trip off

    Ni matumaini hatujambo sote, kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off... Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

    “Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

    Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko.... Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is...
  18. JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

    Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

    Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
  20. JamiiForums Tanzania Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

    Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile. Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…