umeme

  1. JamiiForums Tanzania TANESCO: Mabwawa ya kufua umeme yamekauka

    "....Kihansi, Hale na Bwawa la Mungu yote yamekumbwa na uhaba wa maji hali inayopelekea mchana kutozalisha umeme ili kujaza maji ili usiku uzalishaji ufanyike." TANESCO. ======= Mamlaka ya Hali ya Hewa hivi karibuni ilitoa taarifa juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoleta athari nyingi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme uliotangazwa na TANESCO kwa ajili ya ukame. Je, tutegemee mgao zaidi hata litakapokamilika bwawa la Nyerere?

    Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi umeme ni huku bush niliko au na huko mjini?

    Sasa siku imepotea tena. Hapa kurudi ni saa 12 jioni. Huu ni ubabaishaji.
  6. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mgao wa umeme wa kimyakimya ni hatari, hakuna kinachoenda

    Huu mgao wa umeme wa kimyakimya ni hatari. Hakuna kinachoenda. Siku nyingine inaenda kupotea.
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya kukatika Umeme mikoa ya Tanga na Pemba

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake kutokea kwa hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji umeme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale mkoani Tanga leo Jumanne, Septemba 27, 2022. Hitilafu hii imesababisha kukosekana kwa huduma ya meme kwenye maeneo yote ya mikoa ya...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  11. JamiiForums Tanzania Umeme wakati wakati wa kuhesabu kura.

    Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Compressor ya AC ya gari ya pump na ya umeme

    Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump. Hata bei zipo tofauti. Nlitaka kujua katika utendaji ipi ni bora na kwanini? Katika uimara ipi ni bora na kwanini...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbunge wa Igalula Venant Protas, tumia fedha za mfuko wa jimbo kusambaza umeme vijijini. Acha kununua pikipiki na kukopesha kupata faida binafsi!

    Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mkoa wa Kigoma Wapata Umeme wa Gridi ya Taifa

    Bila shaka Kazi inaendelea.. Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati. Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa. Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

    Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa. Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukosekana kwa umeme kwenye baadhi ya mikoa Nchini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kukosekana kwa huduma ya umeme kulikosababishwa na upungufu wa kina cha maji kwenye vyanzo vyetu vya Kihansi na Pangani pamoja na hitilafu iliyotokea kwenye vituo vya Kinyerezi I na Songas leo, Jumanne, Septemba 13, 2022. Hitilafu...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa wilaya ya Ngara umeme ni bidhaa ya anasa yapata miezi sasa

    Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata! Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi manne tena usiku tu na kosa kuche wenye umeme wao huuchukua. Mfano muda huu Benaco na Ngara yote...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatika ovyo tatizo ni nini?

    TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…