Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january

Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa

Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena

Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake

My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
 
Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january

Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa

Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena

Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake

My take: Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
 
FB_IMG_1670230369732.jpg
duuh
 
Back
Top Bottom