umeme

  1. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara

    Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja jioni, yaani umeme unaweza kukatika hata mara 50 kwenye saa moja. Tumeshawasilisha kero hii Tanesco kwa...
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwango cha juu cha umeme wa LUKU mtu anachoruhusiwa kununua?

    Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tulikosea mno: BRT Phase 2 & 3 ilipaswa yawe Mabasi ya Umeme

    Hii miscalculation kubwa sana iliofanyika. Electric buses ndizo zipo sustainable zaidi na hazihitaji maintainance kubwa. Nchi yeyote inaweza kuzalisha Umeme lakini si kila nchi inazalisha mafuta Electrification ya Phase ya pili na ya tatu ya BRT ingeweka stability ya bei za usafiri kwa miaka...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

    Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  8. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadili Bajaji ya Mafuta iwe ya umeme?

  9. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Umeme na usalama wa nyumba, Kiwanda au mitambo yako

    ⚠️KWANINI UKATE TAMAA NA KUIONA KAZI YAKO CHUNGU? Umechoshwa na: ❌ Cable na Vifaa feki vinavyochelewesha kazi na kuhatarisha usalama site? ❌ MCB zinazokatika bila sababu? ❌ Wasambazaji wasio na uelewa wa kiufundi? ❌Kufanya Biashara na Watu Wasio Waaminifu? ✅SULUHISHO LIMEPATIKANA Rafiki...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Siridhishwi na Watumishi wa Umma tunavyokatwa kodi ya Nyumba ya Serikali kupitia TANESCO

    Kutokea Kibondo, naomba ufafanuzi kwenye shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Je! Ni kwanini sisi Watumishi wa Serikali tunaoishi nyumba za Serikali, vijijini tumeunganishiwa kwenye system ya Kulipa kodi ya nyumba ilihali kuna makato kwenye mishahara yetu na bado hayo makato ya REA, VAT na EWURA...
  11. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme mwl Nyerere umefikia wap?

    Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeuanza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mwanza, huku Nyamhongolo Stand, Ilemela tuna tatizo la umeme mdogo (low voltage)

    Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kituo cha Umeme Mkata kuboresha upatikanaji wa Nishati

    Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata wenye thamani ya shilingi bilioni 50 unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuboresha huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea maendeleo ya shughuli za kiuchumi mara utakapokamilika.
  14. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme

    🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical & Tech Solutions ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA ZA JUMLA NA REJAREJA💫 Tupo Kwa Ajili Yako💡 ✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA, VIWANDA, UMEME WA NYUMBANI, VISIMA, MOTORS N.K JUMLA NA REJAREJA Tupo Dar es...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Spika Mstaafu Samweli Sita. Zanzibar wakijifanya kiburi, wazimieni Umeme

    Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika. MY TAKE; Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma. Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wakati wa upungufu wa umeme kuna walioshauri tulete mitambo ya kukodi, kumbe walitaka wakutane nazo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya umeme kukatika huduma kusimama Hospitali ya Sekou Toure yasema kulitokea hitilafu kwenye chanzo kikuu cha umeme

    YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HITILAFU YA UMEME KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU-TOURE Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia ukurasa wa Jamii Forums, zikidai kuwa hospitali imekumbwa na...
  18. Fortyseven

    JamiiForums Tanzania Badala ya mafuta twende na daladala na magari ya serikal ya gesi na umeme

    Hivi ndugu zangu watanzania haiwezekani kwa wasomi tulionao hapa bongo au hata wa kuazima tukazibadili daladala zilizopo na magari ya serikali yatumie gesi asilia kuliko kutegemea mfereji wa Hormuz? Au kwanini serikali isipitishe sheria kuanzia 2030 magari na daladala malori na magari ya...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania PPPTZ: Sasa ruksa wanaotaka kusambaza Umeme wa TANESCO kwa Wateja

    Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford umeonesha kuwa katika nchi 13 tajiri zaidi duniani, takribani asilimia 25 ya nguvu ya uchumi hutokana na ufanisi wa kitaasisi. Hii ina maana kuwa taasisi zenye mifumo thabiti na uwajibikaji huongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi kuliko hata rasilimali...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo. Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
Back
Top Bottom