umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapangaji wenzangu, mnakabiliana vipi na jirani asiyetaka kulipia bili ya maji na umeme?

    Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote? Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Waliokuja na mawazo ya treni ya umeme pamoja na BRT za LNG waliona mbali sana

    https://x.com/silvertrade/status/2027783355656261817?s=20
  3. 888I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Simanjiro: Je, mnatupa Umeme au mnatulisha "Radhi" za WhatsApp?

    Wakuu wa JamiiForums, habari za muda huu. Nimekuja hapa kuelezea machungu ya sisi wananchi wa Wilaya ya Simanjiro, hususan maeneo ya Terrat, na vijiji vyote vinavyopata umeme kupitia njia za Sinoni na Monduli. Kiukweli hali ya umeme huku kwetu imekuwa ni kero isiyovumilika,Sijui kwa maeneo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe - Pwani hatuna umeme wa uhakika, haipiti siku lazima ukatike

    Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika. Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka malalamiko yetu kwa wahusika. Si Mkuu wa Wilaya wala Meneja wa TANESCO Mkuranga, ambaye amejitokeza...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo sugu la kukatika kwa umeme Wilaya ya Mvomero huku mamlaka zikiwa kimya

    Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
  6. Rafiki Electrical Solutio

    JamiiForums Tanzania VIFAA VYA UMEME TANZANIA

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA! Kutoka Kampuni zote...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Mlimba – Morogoro tunaambiwa Nguzo moja ya Umeme ni Tsh. 580,000, hii ni haki?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=. Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZECO: Changamoto ya umeme Zanzibar inachangiwa na miundombinu ya kusafirisha umeme, kuna mpango wa kuweka njia kutoka Bara

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo. Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 400kV toka Uganda -Tanzania, mchakato umeiva na umeanza, kugharibu dola milioni 250 za kimarekani

    09 February 2026 UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme unakatika sana hadi inakera maeneo ya Matika, Wilaya ya Ludewa (Njombe)

    Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
  14. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Jirani zangu walikataa kuchangia nguzo ya umeme, sasa nimeileta mwenyewe wanalazimisha kuitumia na wao

    Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na umeme. Mwaka huu 2026 mradi wa umeme umefika, nguzo zimepandishwa na nyaya za msongo wa chini...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  17. Keynez

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora, kuvuta umeme na maji kwa gharama zao halafu Serikali inashindwa hata kuwajengea barabara tu

    Huwa nawaza sana hili jambo. Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora tena wengi wanafanya hivyo bila mikopo maana serikali haijatengeneza mifumo rasmi na rafiki ya kukopesha kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi. Wananchi hao hao wanalazimika kulipia gharama za kuvuta huduma za umeme na...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Tunduri umeme unakatika mara 20 kwa siku

  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Changamoto ya umeme kuisha haraka hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu

    Wakati baadhi ya wateja wakilalama kuhusu kuisha haraka kwa umeme wanaonunua kupitia mfumo wa Luku, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu. Kwa mujibu wa waliotoa malalamiko, wamekuwa wakinunua umeme kiwango kilekile...
Back
Top Bottom