Mradi wa umeme mwl Nyerere umefikia wap?

Mradi wa umeme mwl Nyerere umefikia wap?

Kidabwenge

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
24
Reaction score
60
Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeuanza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
 
Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeunza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
Ulishakamilika.

Haujazinduliwa tu, kwasababu kampuni iliyojenga ni ya Misri na walitaka siku ya uzinduzi Rais wao awepo.


Sasa Samia akaanza kuteka na kuia watu na kuia mpaka Uchaguzi, kwasababu anahangaika kujisafisha, hso haijajulikana lini huyo Rais wa Misri atakuja.
 
huko walishatoka na kusahau siku nyingi, sasa hivi wako kwenye kubomoa muhimbili na kuijenga upya pamoja na sinza na buguruni zote kubomolewa na kujengwa upya hapo hapo wanajipanga kuhost world cup btw ki-gdp cha tanzagiza ni 80 billion usd na watu > 55 million ...
 
Back
Top Bottom