umeme

  1. JamiiForums Tanzania Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope kukabidhi miundombinu ya umeme kwa TANESCO

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia karuhusu upandaji wa LUKU mwisho wa mwezi, kipindi wakiwa na Magufuli waliahidi kushusha bei ya umeme, Imekuwaje?

    Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Umeme Kuongeza Uzalishaji wa Madini Mkoa wa Katavi

    UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Kigoma Kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa kwa Njia Sita za Umeme

    MBUNGE ASSA MAKANIKA ATOA MSISITIZO KWA MABALOZI KUHAKIKISHA WATU WANAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika akiwa katika ziara yake ya kuzungumza na Mabalozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo lengo ikiwa ni kuhamasisha...
  5. JamiiForums Tanzania Je unatatizo la umeme mdogo,motor na friji havifanyi kazi vizuri?

    Umeme mdogo usikkwamishe shughuri zako.. Nafynga vifaa vitakavyoondoa tatizo hilo katika vifaa vyako 0785165877 Transistor
  6. JamiiForums Tanzania Bili kubwa ya umeme kuliko matumizi

    Je unalipa bili kubwa ya umeme, ambayo unadhani inazidi matumizi yako? *Nafanya ukaguzi wa mifumo ya umeme kuangalia chanzo cha tatizo. *Nafanya marekebisho kuondoa tatizo *Lakini pia kama hakuna tatizo tunatoa ushauri wa kitaalamu juu ya maboresho ya vifaa vyako ili kupunguza gharama za...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitaka Wizara ya Nishati kuhakikisha Katavi inapata umeme wa Gridi ifikapo Septemba 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa; Wana Igunga kwasasa Taifa Letu Lina Umeme

    MBUNGE NGASSA: " WANA IGUNGA KWA SASA TAIFA LETU LINA UMEME WA KUTOSHA" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Ameendelea na Ziara Jimboni kwenye ngazi ya chini ya Utawala ya Vitongoji huku atokia ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa Wananchi pamoja na; 1. Kutoa mrejesho wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yailaani Tume ye Umoja wa Ulaya kwa kutaka siri za kibiashara katika uchunguzi wa magari ya umeme

    Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
  10. JamiiForums Tanzania Fundi wa GPS tracking kwenye pikipiki, bajaji na magari Mwanza na mikoani

    TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222. Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua. Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
  11. JamiiForums Tanzania Giant Bamboo, ni kubwa mno size pungufu ya nguzo za umeme na size sawa kabisa na nguzo za TTCL enzi zile.

    Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa. Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga: REA ongezeni kasi ya uunganishaji umeme katika vijiji ambavyo vimefikiwa na miradi

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi katika vijiji ambavyo tayari vimefikiwa na miradi ya usambazaji umeme ili kuleta tija. Kapinga ameyasema hayo tarehe 1 Julai, 2024 wakati alipokagua miradi ya umeme...
  13. JamiiForums Tanzania Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Tren ya umeme haitakuwa na tija Tanzania

    Kichwa cha habari chahusika. .Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa. Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa . Haijulikani wamefunga mabewa mangapi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Ambulance zinazotumia nishati ya umeme katika kupunguza gharama na kuboresha huduma

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika sekta yaAfya hususani kitengo chakusafirishia wagonjwa kwa kutumia Ambulance, hii ni kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa juu zaidi na kupelekea matokeo mabaya hata vifo wakati mwingine. Hivyo basi kutokana na ukuaji wa teknolojia dunia...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la mgao wa umeme, itakayopunguza gharama na mgao

    SULUHISHO LA MGAO WA UMEME, ITAKAYOPUNGUZA GHARAMA NA MGAO Tatizo la umeme Tanzania limekuwa na viswahili vingi kutoka kwa Mamlaka na ni changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa miundombinu ya kutosha ni moja ya sababu kuu, tumekuwa tukitegema vyanzo vichache...
  17. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  18. JamiiForums Tanzania Hoja wanazotumia kumwandamana Dotto Biteko hazina mashiko

    Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno. Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  20. W

    JamiiForums Tanzania BEI YA UMEME IPUNGUE

    Baada ya Bwawa la umeme kukamilika tunaomba rekebisheni bei za umeme kwa watu wa kawaida. Sisi watu wa kawaida napendekeza unit 1 kwa tshs 100 bila ukomo. Au wekeni umeme kama mabando ya simu ili mtu awe na uhuru wa kuchagua maana kuna wakati mtu kuhitaji umeme mwingi kwa shughuli maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…