Tunauza na kufunga pump za maji kwa ajili ya mifumo inayotumia nishati ya jua na umeme

HYDROVENTURE

New Member
Nov 3, 2021
3
0
Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu tukufungie Automatic Power Backup System,Solar Pumping System za gharama nafuu kabisa.

Tunapatikana mkoani Mwanza maeneo ya Mkolani mkabala na barabara kuu inayoelekea Shinyanga au tupigie katika namba

+255 686570264, +255 762726524
#thequalityofsmartwork

IMG_20240509_225539_042.jpg
 
Hello mkuu, naomba kujua je mnaweza kufunga kwenye visima hivi vya kuchimba na mkono, vile vipana, cha shambani kwangu kina mita 30,
 
Back
Top Bottom