umeme

  1. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme na madishi na kufunga mapazia

  2. Midimay

    JamiiForums Tanzania Mradi wa JHNPP umeondoa mgawo wa Umeme

    Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia Tanzania ikiwa na umeme unaowaka mfululizo kama mwaka huu 2024 baada ya JHNPP kuanza uzalishaji. Kwangu ni...
  3. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukata umeme kwa saa tatu Mbeya

    Basi ndio hivyo bana ndugu zangu wa Mbeya kama mlivyoona, kikubwa wekeni mambo yenu sawa kabla ya Tanesco kufanya yao!
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Shinyanga DC: Siku ya tatu umeme haujarudishwa Didia, kwenye nyumba ya Yoyo baada ya gari la mnadani kukata nyaya za umeme

    Hii imetokea Kijiji Cha DIDIA wilaya ya SHINYANGA DC ambapo ni SIKU ya Tano tangu ilipotokea dharura ya kugongwa na gari nyaya za umeme zinazokatisha barabarani. Kutokana na CHANGAMOTO hiyo tangu tarehe 3/5/2024 hadi 7/5/2024 bado umeme haujaunganishwa KATIKA nyumba hiyo na zaidi wametoa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

    Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
  6. Doto12

    JamiiForums Tanzania Kukata umeme usiku huu inaashiria nini?

    Ni usiku mwingi Hakuna mvua hakuna upepo Jamani wanasiasa unatutafuta nini?
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabwawa ya Tanzania hayajengwa kukabiliana na mafuriko, bali kuzalisha umeme tu

    Mto Rufiji, unaoishia katika pwani ya kusini-mashariki mwa Tanzania, ulikumbwa na wimbi kubwa la mafuriko Aprili 2024. Mafuriko haya yalisababisha vifo vya kusikitisha na kuathiri watu 88,000. Zaidi ya hekta 28,000 za mazao ziliharibiwa. Tanzania ina historia ndefu ya ujenzi wa mabwawa, kuanzia...
  8. Izato

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka asubuhi, tatizo ni nini?

    Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI Jumatatu, 27 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
  10. lui03152

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatika ifikika jioni

    Nimekuwa nikipata changamoto hii kwa muda sasa kila inapofika jioni taa zinapowashwa umeme umekuwa una kata na kuzima mara kwa mara. Na baadhi ya vifaa kama vile AC kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kukosa nguvu wakati mwengine baadhi ya taa kufifia mwanga. Lakini cha kushangaza...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Upigaji vituo vya mabasi, Kituo cha Magufuli chawalipia wapangaji bili ya umeme na maji Tsh. Milioni 563.02

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO mmeanza kukata umeme mchana na kurudisha usiku wa manane

    TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji. Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Morogoro Mkuyuni umeme unakatwa mara nyingi kwa wakati mmoja kila siku, tumechoka kuunguliwa vitu

    Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne. Mmeshatuunguzia vitu hadi imetosha sasa, yaani inakuwa kero. Ni service gani mnafanya kila siku muda ule...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Si majanga yote ya moto majumbani yanasababishwa na umeme wa TANESCO

    📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo 📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme visivyotengenezwa kwa ubora 📌Matumizi Mabaya ya Nishati zingine vyatajwa kuongoza kama chanzo...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Umeme wa hovyo (Junk Electricity), unavyosababisha maafa na hasara

    Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango. Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie. Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa baada ya kuunguza swith board inayopokea umeme mkubwa na hatimaye kuharibu controls za boiler ya...
  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule iliyopo kijijini nikajitolee sharti kuwe na umeme tu

    Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE. Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel. MAHITAJI YANGU Kijiji...
  17. Story Zaukweli

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maporomoko ya maji ya asili katika vijiji, yawe chanzo cha umeme katika Kijiji husika na vijiji jirani, ili kuongeza ufikiwaji wa umeme nchi nzima

    Utangulizi; Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na maporomoko ya maji Kama njombe na milima ya upare, ambayo ina maporomoko mengi ambayo hayatumiki...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni ngumu kutambua matumizi ya umeme kwa mtu binafsi, ni ngumu kudhibiti matumizi ya umeme kwa mtu binafsi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania SoC04 HeWasha: Mfumo mpya wa kuwasha Umeme 'Automatic' baada ya kununua units bila kujaza token kwenye Mita

    Utangulizi Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
  20. Mwangajamii Tanzania

    JamiiForums Tanzania Submeter za Kijanja hakuna kushea umeme tena

Back
Top Bottom