umeme

  1. mtokeibwima

    JamiiForums Tanzania KERO Kibiti umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja

    Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana. Na msivyo na aibu mnasema eti ni miundombinu wakati tangu umeme umeingia wilaya ile haijafika miaka 10. Ni...
  2. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka Asubuhi

    TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili? Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili. This is not fair.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nitumie kimiminika gani kusafisha saketi ya kifaa cha umeme

    Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
  4. Doto12

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

    Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku. Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime. Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania. Hakuna chumba cha...
  5. chakii

    JamiiForums Tanzania Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji. Nataka nimwambie Waziri Biteko kauli yake ya kuwa matumizi ni madogo SIYO KWELI bali ni kwamba UNIT...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kama umeme ni mwingi upungue bei tupikie majiko ya umeme

    Kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme, tuwe tunatumia umeme na gas, maana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya. Pia Soma - TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jengo la Abiria Stendi Kuu ya Magufuli halina umeme siku ya pili, Watu wapo gizani

    Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme. Leo ni siku ya pili sasa hali bado ni tete, hakuna umeme na usiku usalam wa abiria unakuwa shakani...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  11. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini nakushauri ununue mashine ya umeme ya kufyatua matofali

    1.unaweza kuikodisha anytime 2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa week 1 una tofali 1400 ambazo ni zaidi ya million 1 na laki 4 ukitoa mchanga, maji na cement hapo...
  15. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kero ya umeme Mitaa ya Tegeta, Kilimahewa Juu

    Pamekua na kero kubwa ya umeme tegeta salasala maeneo ya kilimahewa juu. Umeme unakata kata sana bila taarifa na kupelekea vitu kuharibika na kuingia hasara. Tunaomba mamlaka itoe ufafanuzi juu ya hili mana ni maeneo ya huku tu ndo umeme haupatikani lakini maeneo mengine upo. Takribani wiki...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji. Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa: 1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO na Serikali walipeni watu fidia wahamishwe Rufiji. Bwawa la Umeme ni muhimu. Kila Mtanzania achangie fidia kwa kuongezewa 1000 kwenye Luku

    Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima Hali ya rufiji ni mbaya. nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
Back
Top Bottom