umeme

  1. Fundi wa fundi

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hoja wanazotumia kumwandamana Dotto Biteko hazina mashiko

    Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno. Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana...
  3. toriyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  4. W

    JamiiForums Tanzania BEI YA UMEME IPUNGUE

    Baada ya Bwawa la umeme kukamilika tunaomba rekebisheni bei za umeme kwa watu wa kawaida. Sisi watu wa kawaida napendekeza unit 1 kwa tshs 100 bila ukomo. Au wekeni umeme kama mabando ya simu ili mtu awe na uhuru wa kuchagua maana kuna wakati mtu kuhitaji umeme mwingi kwa shughuli maalum...
  5. Tesco Tesco

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nishati Bora kwa Tanzania Ijayo

    Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea uwepo wa nishati bora katika kufanya shughuli zake, nchi maka Marekani, Urusi, china na nyinginezo zimeendelea kwa sababu ya ubora wa nishati wanayoitumia. katika miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kumekuwa na jitihada mbalimbali za kusaidia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboreshwa mfumo wa luku za umeme (mfumo kiganjani)

    CHANGAMOTO. LUKU kuisha kwa na umeme kukatika pasipo watu kuwa na taarifa SULUHISHO kuunda mfumo wa KIELECTRONIC utakao gundua LUKU kuisha na kutuma sms kwa mteja mfano kiasi Cha LUKU kilicho Baki ni 5% kumpa angalizo pasipo kuangalia umeme mwenyewe Kuunda mfumo wa kutuma control number kwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

    Mmekata umeme toka saa mbili asubuhi bila taarifa yoyote hadi muda huu hamjarudisha tuelewe vipi ?Mgao umeanza au?
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tanesco: Katizo la umeme June, 23

  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa. Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
  11. ahmed sereri

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza chanuo la umeme la kisasa

    Jipatie chanuo la umeme kwa bei nafuu ya Tsh 45,000 tu Bidhaa hii inatatua changamoto zifuatazo: 1. Kuzuia nywele kuwa ngumu: • Inafanya nywele kuwa laini na , hata katika hali ya hewa yenye unyevunyevu. 2. Kung’arisha Nywele: • Inaongeza mng’ao kwenye nywele, hivyo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile aongoza safari ya kwanza ya Treni ya Umeme (SGR) Dar - Morogoro Julai 14, 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
  13. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania FUNDI MADISH NA UMEME NIPO HAPA(0749247920)

    Fundi umeme na madish aina zote nipo hapa kwa mkoa wa dar napatikana muda wote nipigie simu nakuja popote pale 0749247920
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kagera: TANESCO kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kila mwaka baada ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya Benaco-Kyaka

    TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA 📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Benaco - Kyaka Na Charles Kombe, Dar es Salaam Shirika...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  16. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kupunguza bei ya umeme kuchochea shughuli za kiuchumi

    Kukamilika Kwa bwawa la umeme la Nyerere kumepelekea Taifa kuwa na umeme wa kutosha. Nashauri huu ni wakati muafaka Kwa serikali kupunguza bei ya umeme (token) Ili kupunguza gharama ya maisha na kuchochea shughuli nyingi za uchumi zinazotegemea umeme. Raisi Samia ana pigia chepuo matumizi ya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  18. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umeme haujakatika

    Tuwe waadilifu wajameni, tuliolaumu sanaaaa, sasa tupongeze sanaaaa, Hongera Doto, hongera mama, hongera Tanesco Kanyaga twende
  19. mossTV

    JamiiForums Tanzania Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    TV yako haiwaki? TV yako inajizima? TV yako unasikia sauti huoni picha? TV yako inawaka nusu hazijazi kioo? TV yako imeingia giza upande mmoja? TV yako imeua taa? TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu? TV yako inawaka taa nyekundu tu? TV yako haina sauti? TV yako inaonyesha mistali? TV...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

    Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom. Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana...
Back
Top Bottom