umeme

  1. Room 28

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  2. Room 28

    JamiiForums Tanzania Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  3. Erick_Blocks_Machine

    JamiiForums Tanzania Je Unahitaji, mashine bora za umeme kwaajili kufyatua Tofali?

    ERICK_BLOCKS_MACHINES watengenezaji na wauzaji wa mashine bora za umeme kwaajili ya kufyatua tofari imara. mashine zetu ni: Sand mixer machine Vibrated blocks machine (double) Vibrated block machine (single) Paving block machine (electric) Hall-block machine (electric) Luva block machine...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu kufanya tathmini bei kubwa uunganishaji umeme

    "Mhe. Spika imeelezwa pia bei ya kuunganisha umeme vijijini na Mijini. Nieleze la kwanza kwamba bei ya kuunganisha umeme ni shilingi 27, 000 vijijini na kwenye Vijiji miji. Serikali inaendelea kuunganisha umeme kupitia mpango wa National energy Compact na kwa mwaka 2025/26 serikali kupitia REA...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maeneo 479 yasiyofikiwa na miundombinu yamepatiwa umeme

    MAENEO 479 YASIYOFIKIWA NA MIUNDOMBINU YAMEPATIWA UMEME Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vijiji na Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) unalenga kusambaza umeme katika vijiji-miji, mitaa, na vitongoji 508 ambavyo havijafikiwa na miundombinu ya umeme katika maeneo ya pembezoni mwa miji. Mradi huu...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ajira 31,148 zimezalishwa kwenye miradi ya umeme

    AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148. Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54). Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018...
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nipeni business plan ya biashara ya vifaa vya umeme??

    BEI Za Vifaaa na Faida yake katika kila kigaa
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyang'hwale aishauri serikali kuweka bei elekezi ya kuunganisha umeme

    Serikali imeshauriwa kuweka bei elekezi ya uunganishaji wa umeme maeneo yote nchini ili kuwawezesha wananchi wa mijini na vijijini waweze kupata huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa leo Jumatatu Aprili 28,2025 bungeni Jijini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Nyang'hwale Hussein Nassor wakati...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watafiti wameunda Cement yenye uwezo wa kupitisha umeme Majumbani

    Timu ya Watafiti kutoka chuo kikuu Cha kusini - mashariki nchini China, ikiongozwa na Mtaalam Profesa Zhou Yang, imeunda muundo mpya wa seruji hydrogel (cement) ambayo Ina uwezo wa kuzalisha na kuhifadhi Umeme kwa wakati mmoja. Teknolojia hii inaweza kubadilisha maisha ya Wanadamu kwa kuweza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Miradi 6 ya maji yaanza kutumia umeme, wananchi wapata nafuu

    Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme. Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

    Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka (mfano Kigamboni) na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Hadi Zanzibar au mpaka Ulaya?? Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

    Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token. Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako. Watumiaji watakua na...
  14. Secret Star

    JamiiForums Tanzania KERO Mbagala Chamanzi Umeme unakatika siku Mbili Mfululizo. TANESCO Vipi?

    Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho. Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    Members nawasalimu, Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ? Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kupeleka umeme Vitongoji 9,000 mwaka wa fedha wa 2025/26

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini waiangukia serikali walia na upatikanaji wa umeme migodini

    Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma ya umeme kwenye migodi yao ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kukuza uchumi wao na kuongeza makusanyo ya maduhuri kwa serikali. Ombi hilo limewasilishwa leo wakati wa ziara ya Mkuu wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco toeni taarifa mnapokata umeme

    Mnatutia hasara sana. Kipindi cha JPM mlikuwa mnatoa taarifa siku moja kabla ya kukata umeme ,pia mlikuwa mnakwepa kukata umeme kwa kumuhofia JPM. Sasahivi kukata umeme siku nzima ni kawaida tena bila kutoa taarifa. Mnaboa sana nyie watu. I wish Mama afanye mabadiliko TANESCO kuondoa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Habar zenu wadau kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa inayotumia mafuta na umeme ipo sokoni inauzwa

    Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Back
Top Bottom