Mmoja anayejiita fundi mkuu wa umeme anadai hata hiyo inafaa kutumia jikoni kwa sababu ni Tronic.Wa pili anadai siyo hiyoWao wanasemaje.. Hiyo ni socket ila kama unataka ile ya kutumia jikoni kwenye jiko la umeme sio hiyoView attachment 3360794
Wao wanasemaje.. Hiyo ni socket ila kama unataka ile ya kutumia jikoni kwenye jiko la umeme sio hiyo
Kwa usalama tumia hikiMmoja anayejiita fundi mkuu wa umeme anadai hata hiyo inafaa kutumia jikoni kwa sababu ni Tronic.Wa pili anadai siyo hiyo
Bosi wangu unaweza kunitumia picha ya hiyo ya jikoni ili niwaonyeshe wote niondoe huu mzozo
Asante sana MKUU!!🙏Kwa usalama tumia hikiView attachment 3360812
Kanunue double pole swtch socket ila iwe tronicWao wanasemaje.. Hiyo ni socket ila kama unataka ile ya kutumia jikoni kwenye jiko la umeme sio hiyoView attachment 3360794
Pamoja na Wiring ya mm6 ilioingia kwenye main ya at least 30 Amper...sio aishie kwenye socket tu🤣🤣.Kwa usalama tumia hikiView attachment 3360812
Sasa fundi wako lazima aelewe hapo kuna switch mbiliAsante sana MKUU!!🙏
Kwa ishu ya jikoni nashauri atumie hii na waya wake specialKanunue double pole swtch socket ila iwe tronic
Hiyo Ina waya wake na ni ghali kuliko zinginePamoja na Wiring ya mm6 ilioingia kwenye main ya at least 30 Amper...sio aishie kwenye socket tu🤣🤣.
Hiyo Ina waya wake na ni ghali kuliko zingine
kama ni jiko la 2000W au pungufu hiyo itafaa (yes iwe Tronic),Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazikama ni jiko la 2000W au pungufu hiyo itafaa (yes iwe Tronic),
na iwe njia moja tu(siyo 2 kama uliyo post) , kama utatumia hiyo njia 2 hakikisha tundu la pili unaweka kifaa pungufu ya 1000W
kama una majiko mawili (say ya 2000W) kila moja iwe na socket yake, na waya wa 2.5mm² utoke utoke moja kwa moja kwenye bodi, kila moja iwe na mcb yake, hakuna ku-share