Car Tracking services

Ukitu

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
105
Points
225

Ukitu

Senior Member
Joined Jun 14, 2016
105 225
Sumtech Company Limited
Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona,
-Speed
-Sehemu ya gari yako ilipo
-kuzima au kuwasha gari
-Routes za gari
-Gari lilipo
-Mwendo wa mafuta,kujua mafuta yaliyowekwa au kiasi gani cha mafuta kilichotumika.
-etc
Gharama zetu ni 23,000 per month VAT inclusive with free installation
Tunapatikana Arusha,Kaloleni Denso block first floor
contacts zetu ni 0692423587
 

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
33,569
Points
2,000

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
33,569 2,000
Tatizo la Watanzania services zao wanatangaza uongo. Hakuna chochote mnachofanya special kuliko wao maana devices zote ziko sawa nq zote za china.
Services ambazo zinatolewa zinaweza kuwa tofauti,Sisi kifaa chetu kinaonyesha service nyingi ambazo mteja anaweza jua kuhusu gari yake.
 

Ukitu

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
105
Points
225

Ukitu

Senior Member
Joined Jun 14, 2016
105 225
Tatizo la Watanzania services zao wanatangaza uongo. Hakuna chochote mnachofanya special kuliko wao maana devices zote ziko sawa nq zote za china.
Sisi kwanza tunatumia device kutoka Russia sio china
Nime attach na picha ya services tunazotoa
 

Attachments:

Ukitu

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
105
Points
225

Ukitu

Senior Member
Joined Jun 14, 2016
105 225
Watu wenye heavy equipments, busses au lorries vehicle tracking ni muhimu sana kwao kujua information zaidi kuhusu gari lao.
Kwa maswali usisite kuwasiliana nasi kupitia namba 0692 423 578
Sumtech Company Limited
www.sumtech.co.tz
 

Ukitu

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
105
Points
225

Ukitu

Senior Member
Joined Jun 14, 2016
105 225
Wafunga gps wengi wao wanadanganya watu kuhusu monthly charges kwa visingizio vingiii
Kama nilivyo kwambia hapo awali services ambazo zinatolewa zinatofautiana.
Kama mteja anahitaji kwa kutrack gati peke yake sawa,Lakini mteja akitaka kujua vitu vingine kama ku monitor mafuta au kusikiliza mazungumzo hapo lazima utume satellite,ndo mana kuna hizo monthly charges.
Thanks, Karibu Sumtech Company Limited
 

Forum statistics

Threads 1,357,578
Members 519,057
Posts 33,150,972
Top