Zitto ataka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama inayohusu shambulio la Lissu iwekwe wazi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,230
2,000
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,609
2,000
Magufuli ndiye wa kuhojiwa kushambuliwa na kutekwa kwa watu yeye anataka watu tusihoji kwa sababu anahusika na utekaji na mauaji.

Nchi makini kwa kauli ya Magufuli aliyoitoa Zanzibar bunge lingeanzisha uchunguzi dhidi yake

Juu ya kauli yake na kumfurusha ofisini mapema kabla ya uchaguzi kwa anahatarisha usalama wa taifa

Je wanachi wakianza kujihami na ao wanaitwa wasiojulika khali itakuwaje?
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
5,780
2,000
Hahaha niliwahi kuuliza mbona vijijini hakuna polisi, hakuna Mahakama, hakuna mahakimu, hakuna majaji, na hakuna hao TISS?!
Mjinga mmoja akanijibu vyombo vya ulinzi na mahakama ni kwa manufaa ya watawala tu.
Watawala hawawezi kutoa hiyo report.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,446

Uko sahihi kabisa, hiyo ripoti haiwezi kutoka chini ya utawala huu, hasa ukizingatia wao ndio washukiwa namba moja.
 
Mkuruka

JF-Expert Member
May 2, 2011
425
500
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Jamani kwani Zakaria aliwajeruhi watu gani wale? Mbona tunasahau kirahisi hivi? Tuliambiwa wale walikuwa watu wa usalama na walifanya jaribio la kumteka Zakaria ila likabuma baada ya jama kuwazidi ujanja.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
23,461
2,000
Nakubaliana na wewe kabisa shida wenye mamlaka wanaweza fanya chochote kile sisis humu tusio tambulika kwa personal zetu tutaishia humu nasio kwenye public compaund kama marekani na uingereza
Unafahamu kuwa wenye mamlaka ni sisi wananchi na siyo mtu mwingine yeyote yule?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom