ulinzi wa taarifa binafsi

Ulinzi wa Taarifa Binafsi
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ya Binafsi ya mwaka 2022 (Tanzania) inatumika kwa 'Ulinzi wa Taarifa Binafsi', ambazo ni taarifa zinazohusiana na mhusika wa taarifa (data subject). Sheria hii inawapa watu haki ya kulindwa faragha zao katika ukusanyaji, uchakataji na udhibiti wa taarifa.
  1. mwanamwana

    Waziri Jafo: BRELA acheni kuuza siri za wateja na kuwasababishia matatizo

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amewapiga marufuku watendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wenye tabia ya kuuza siri za wateja na kuwasababishia matatizo. Amesema kuwa haiwezekani mtumishi wa BRELA akachukua data na siri za kampuni akaenda kuuza kwa watu...
  2. The Sheriff

    KERO Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) itusaidie kushughulikia wanaosambaza taarifa zetu kiholela. Vyeti vyetu vinafungiwa kachori

    Hapa chini ni nyaraka zenye taarifa binafsi za mtu ambaye anaonekana aliomba nafasi ya kazi mahali fulani, lakini baada ya nyaraka zake kuisha kuisha umuhimu wakazitelekeza kiholela. Sijui waliuza hizo karatasi au walitupa watu wakaokota, haieleweki. Ila sasa zinapatikana kwa akina mama wauza...
  3. S

    Mikopo ya online: Rais Samia wachunguze Mkurugenzi Mkuu TCRA, Gavan BOT na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa serious katika kuchukua hatua(sijaona wala kusika waliokamatwa kwa kudhalilisha watanzania). Naomba...
  4. Roving Journalist

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaonya ufungaji wa Kamera (CCTV) kwenye maeneo ya faragha

    YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
  5. Yoda

    Serikali ondoeni utaratibu wa wageni kuandikisha taarifa zao katika hoteli, lodge na gesti

    Huu utaratibu wa wageni kutakiwa kujiandikishaa kwenye kitabu vya wageni vinavyofanana na vitabu vya mahudhurio ya wanafunzi kwenye hoteli, lodge na guest ni wa kijima au kishamba sana na umepitwa na wakati. Ni utaratibu mbovu kwa usalama na usiri wa mteja. Hii ndio sababu mojwapo inayopelekea...
  6. J

    Haya ni mambo ya kuzingatia uwapo mtandaoni ili kulinda taarifa zako binafsi kutumiwa vibaya na watu wenye nia ovu

    Wapendwa wana JamiiForums, Tunafurahia kuwa sehemu ya jamii yetu inayoheshimu faragha yenu kwa kuwaruhusu kutumia majina bandia ili kuwa huru kutoa maoni yenu na kushiriki mijadala kwa namna mbalimbali. JF kama mitandao mingine ya kijamii inakutanisha watu wa aina mbalimbali, wenyewe nia...
  7. Influenza

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi za mikopo zinazodhalilisha watu ikiwemo kutuma ujumbe kwa ndugu

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo Amesema, “Tutoe onyo kwa watu/Taasisi za Mikopo zinazowanyima haki ya faragha wateja kwa kuweka mikataba...
  8. BARD AI

    Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  9. Analogia Malenga

    Hotel za Dodoma zinakiuka sana ulinzi wa taarifa binafsi

    Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila kule hali ni tofauti. Niko hoteli nyingine leo, the same sh*t, jamaa kakomaa na kamera lake anataka...
  10. Abdul Said Naumanga

    Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  11. S

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia: Hadi Desemba 2024, Taasisi za Umma na Binafsi ziwe zimetekeleza Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC. Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria na kushughulikia malalamiko. Muundo na taratibu za Tume zimekamilika na zinazingatia haki za faragha...
  13. Influenza

    Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 kazi ya Tume hiyo ni pamoja na;
  14. Shining Light

    Unatumia njia gani kulinda data/taarifa zako binafsi kwenye simu yako?

    Taarifa binafsi ni taarifa ambayo inaweza kukutambulisha wewe, mf. Picha, jina, kitambulisho, kadi ya benki, nk. Mfano, unaponda kujindikisha kwa mlinzi ili kuaingia kwenye ofisi fulani ukaacha jina lako, namba ya simu, pamoja na email, hizi ni taarifa zako binafsi, mtu zimefungamanishwa na wewe...
  15. Roving Journalist

    Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iachwe iwe Huru, isiingiliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
  16. Influenza

    Yafahamu majukumu ya Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 imeanza kutumika rasmi Mei 2023 ambapo pamoja na kuwepo kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutakuwepo na Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo itakuwa ni chombo cha usimamizi wa Tume. Hata hivyo, ili kudumisha uadilifu wa Tume na...
  17. Influenza

    Maxence Melo: Kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi zimeweka utaratibu wa kumalizana nje ya Mahakama kwa kila upande kupata stahiki sahihi

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akiwa kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM ameeleza kuwa Kanuni ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - "Kanuni Za Taratibu Za Kushughulikia Malalamiko ya Ukiukwaji Wa Misingi ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi" zimeeleza namna ambavyo watu...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia ateua Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi za TMA, Mkonge na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo: i) Amemteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (Tanzania Meteorological Authority - TMA) na...
  19. R

    Taarifa zako binafsi zikitumiwa vibaya au kinyume na makubaliano peleka malalamiko kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wakuu, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao. Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
  20. Influenza

    Tume ya Mawasiliano (Nigeria) yawaonya wanaotuma matangazo kupitia simu. Tanzania sheria ipo, ila matangazo ya simu yanazidi

    Tume ya Mawasiliano ya Nigeria imewaonya Watumiaji wa simu kwa matangazo (Telemarketers) kuwa ukusanyaji wa taarifa (data) za wateja kwa matumizi ya Kibiashara ni marufuku nchini humo chini ya Kanuni za Nchi. Tume ya Mawasiliano ya Nigeria (NCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Mawasiliano...
Back
Top Bottom