ulinzi wa taarifa binafsi

Ulinzi wa Taarifa Binafsi
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ya Binafsi ya mwaka 2022 (Tanzania) inatumika kwa 'Ulinzi wa Taarifa Binafsi', ambazo ni taarifa zinazohusiana na mhusika wa taarifa (data subject). Sheria hii inawapa watu haki ya kulindwa faragha zao katika ukusanyaji, uchakataji na udhibiti wa taarifa.
  1. R

    Mbunge Abdulwakil: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi italinda utu, heshima na faragha yetu

    Akichangia hoja kupitia mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mbunge Ahmed Abdulwakil amesema kuwa Sheria hiyo ni muhimu na endapo itapitishwa na Bunge italinda utu, heshima na faragha ya wananchi. Kutokana na Tanzania kutokuwa na sheria hii watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa zao...
  2. Suley2019

    Mwanaisha Ulenge: Sheria ya Ulinzi wa taarifa binafsi italeta maadili katika matumizi ya teknolojia ya habari

    Mbunge wa viti maalumu wa CCM, Mwanaisha Ulenge akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi ameweka bayana kuwa sheria hii imekuja kwa wakati sahihi na inakidhi maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa na wakati ujao. Aidha, akifafanua zaidi, Mwanaisha Ulenge...
  3. Roving Journalist

    Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  4. Analogia Malenga

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  5. Roving Journalist

    Mapendekezo ya Wadau kuhusu Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaliyowasilishwa Bungeni chini ya Kamati ya Miundombinu

    Maoni haya yanawasilishwa kwa pamoja na taasisi zifuatazo; 1. Jamii Forums (JF) 2. Tanganyika Law Society (TLS) 3. Legal and Human Rights Centre (LHRC) 4. Tanzania Mobile Network Operators Association (TAMNOA) 5. Tanzania Bankers Association (TBA) 6. Twaweza 7. Tanzania Human Rights Defenders...
  6. BARD AI

    Kupunguza bei ya Internet ni muhimu katika kuhamasisha ulinzi wa taarifa binafsi na matumizi sahihi ya mitandao

    Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni. Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
  7. Roving Journalist

    Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi kuanza kujadiliwa na Kamati ya Bunge

    Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao. Oktoba 20 na 21, 2022 kunatarajiwa kuwa na mjadala mwingine kuhusu muswada huo kwa kisha utapelekwa...
  8. Roving Journalist

    Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wasomwa kwa mara ya kwanza Bungeni

    Muswada huo umesomwa Leo Septemba 23, 2022 Bungeni Dodoma ambao unalenga kuweka misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za wananchi, Kuweka Kiwango cha Chini cha Matakwa ya Ukusanyaji na Uchakataji wa Taarifa Binafsi, na Kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Masuala mengine muhimu ni pamoja...
  9. BARD AI

    Nape Nnauye: "Tunakamilisha mchakato wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia amethibitisha kuwa Serikali inakamilisha mchakato wa utungwaji wa Sheria hiyo itakayolinda taarifa binafsi za watu. Kauli ya Nape inakuja wakati kukiwa na madai mengi ya sheria hiyo kutoka kwa watu binafsi na taasisi ikiwemo JamiiForums ambayo imekuwa...
  10. BARD AI

    Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  11. Sildenafil Citrate

    Maxence Melo: Mpaka sasa hakuna Sheria wala Utaratibu rasmi wa kulinda taarifa binafsi za Watanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022. === Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
  12. Suley2019

    Je, taarifa binafsi (Mitihani na CV's) zinazotumiwa kama vifungashio na wafanyabiashara zinatoka wapi?

    Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake. Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani. Aidha, vifungashio...
  13. beth

    Rais Samia: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ikamilishwe

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
  14. The Sheriff

    Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
  15. Analogia Malenga

    Wizara ya Habari: Serikali inatambua umuhimu wa kilinda taarifa binafsi

    SERIKALI imewataka wanaokusanya na kutumia taarifa za watu binafsi, taasisi na Serikali kupitia mitandao kutimiza wajibu wao kwa kuzilinda kwa kufuata kanuni, taratibu, sheria, maadili na nidhamu ya kulinda taarifa hizo kwa kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kuzilinda taarifa hizo. Hayo...
  16. Suley2019

    Dkt. Ndugulile: Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi inakuja

    Picha: Dkt Faustine Ndungulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndungulile ameeleza azma ya serikali katika kuanzisha Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection). Dkt. Ndugulile amesema serikali inathamini jambo hili linalozidi kuwa maarufu...
  17. J

    Tahadhari: Haribu Stakabadhi ya ATM baada ya kuitumia

    Unashauriwa kuharibu kwakuwa inaonesha jina la Benki, Namba nne za mwisho za namba ya Akaunti, kiasi kilichotolewa na kilichobaki. Taarifa hizo zikifika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuunganisha na taarifa nyingine na kufanya ulaghai kupitia wewe.
  18. NGolo Kante

    ULINZI WA DATA: Usalama taarifa binafsi shakani

    Dar es Salaam. Usajili wa taarifa za watu kwa mfumo wa kidigitali, umeanza kuibua wasiwasi wa usalama wa taarifa binafsi, hivyo kuibua hoja ya umuhimu wa kuwapo sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na faragha nchini. Hoja ya kutungwa kwa sheria ya aina hiyo, imepata nguvu hasa baada ya uamuzi wa...
Back
Top Bottom