CAF awards 2019: tuacheni utani hata Ulaya awawezi kuifikia Egypt

M.Rutabo

Senior Member
Apr 8, 2015
117
500
Direct to the point Leo ndio tuzo zile kubwa za kuwatunuku wanasoka Bora wa Africa.

Ndani ya nyumba namuona mnyama kutoka Tanzania kipande Cha Madale Diamond himself ambaye Leo atatumbuiza kwenye tuzo hizo. Mbali na Diamond namuona pia aliyekuwa kocha wa arsenal mzee baba Wenger, pia Sedio Mane, Nwanko Kanu, Rais wa FIFA pamoja na Rais wa CAF.

Tuje kwenye maandalizi, mapokezi na mandhali kiukweli Misri wanatakiwa wawe Wana host matukio makubwa ya kimpira hapa Afrika maana ukiangalia unaweza kudhani upo sayari nyingine kumbe upo Afrika. Kwa wale wenye kisimbuzi Cha Azam tune Azam sport hd wapo mbashara kabisa Sasa hivi.
 
Top Bottom