Timu zote 4 zitakazoingia nusu fainali Kombe la Dunia zitatoka Ulaya

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,832
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.

Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili.

Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
 
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.

Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Mtakatifu Luca alikuwa hachezi bali alikuwa anafundisha namna ya kucheza mpira.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Brazil ubishoo mwingi , na ulimbukeni , wengi wametokea maisha magumu wakipata majina full ubishoo na kujipodoa , ukiacha thiago Silva na Rodrigo , wengine wote mdebwedo Sana , hawana fighting spirit Acha watoke tuuuu
 
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.

Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Kwenye ustaarabu umedanganya.....maarifa yalitoka kwa wamisri yakapita kwa wagiriki,,,....waroma na hao wengine.......
 
Nyie mpira unauma, unalipenda li team linakuangusha huna uwezo wa kuingia uwanjani basi ni kero tupu.

Mpaka nikakumbuka tulivyokuwa primary wanasema ukitaka kuroga team pinzani isifunge basi unakunja ka kidole ka mwisho kwenye mikono afu unashika kwenye nyonyo kila mpira unapokuwa kwa team pinzani, mpira ukirudi kwenye team yako unaachia ka kidole.
Tangu mpira unaanza ndo nimekunja ka kidole nimeshika kwenye nyonyo dah nina maumivu.
 
Pole PISI KALI Luckyline, unaonaje nikikuletea dawa sasa ili ikutibu nyonyo isiume

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom