ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  2. JamiiForums Tanzania Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  3. JamiiForums Tanzania Taja ukweli mmoja mchungu kuhusu maisha ambao imebidi ukubaliane nao?

    HAKUNA ATAKAEKUJA KUKUOKOA: Hakuna jambo linaloundwa special kwa ajili yako, hakuna muujiza wa kukuuokoa, hakuna rafiki atakae kung'oa katika hilo pito lako, hakuna malipo ya unyenyekevu wako, hakuna karma ya mateso uliopitia eti uje upate raha. Watu wamegeukwa hadi na baba zao wa kuwazaa, watu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande aliyekushauri kuzima mtandao wa so called tume yako amekupoteza. UNAFICHA NINI? UNAFICHA UKWELI AU UONGO?

    Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha! Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi? Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
  5. JamiiForums Tanzania Ni maneno mazuri msibani lakini hatuwezi kuacha ipite hivi hivi: Mbowe ni sauti iliyochelewa, au ukweli uliopimwa?

    Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Visanga vya ukweli na uwazi baaina ya mimi na wachungaji

    MIMI: Maandiko yanaonesha kuwa Adam alikuwa na watoto ‎wawili: ‎Kaini na Habili. CARDINAL: ndio, Alikuwa na Watoto wawili. MIMI: Hakuna moto mwingine...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 iliyopita: Nilitetea ukweli, familia ikaniona mbaya

    Wasalam, Miaka 15 iliyopita kuna uncle wangu mmoja ambaye hatukuwa tunapisha sana umri alifariki kwa ajali akiwa anatoka Dodoma kuja Dar. Labda nikupe historia kidogo ya huyu uncle ambaye pia alikuwa rafiki na mshikaji wa karibu sana. Huyu uncle alikuwa mtu wa mambo mengi sana kwenye kutafuta...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  9. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  10. JamiiForums Tanzania Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  11. JamiiForums Tanzania UKWELI kuhusiana na DINI ya Kiislamu na Kikristo katika Theolojia na Misingi yao

    Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M. Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo na kama kuna njia ya kutoka. 1. Kwa nini ukatili wa kidini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nawafundisha wanafunzi ukweli kuwa mamlaka ya kutawala yapo kwa Wananchi kwa mujibu ya Katiba yetu

    Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
  13. JamiiForums Tanzania Kanisa la kweli lazima lifuate falsafa ya Yohana Mbatizaji kueleza ukweli juu ya maovu ya mtawala yoyote.TEC wapo sahihi kupinga maovu hapa nchini

    Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu. Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao. Akamuambia Herode juu ya uovu wa kuoa mke wa kaka yake. Kama mtangulizi wa Yesu Yohana mbatizaji alikemea...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ...... 1. Namjua John, Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende. John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara. Ghafla...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa dini zina-limit watu kutumia common sense na kwa maana hiyo wanaunganisha kuhoji sana na kufuru

    I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu. Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee. Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
  16. JamiiForums Tanzania Ila kusema ukweli wavutaji bangi mnatupanga sana

    Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
  18. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limesema ukweli kwenye tawala katili na dhalimu mnoo Duniani

    Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira. Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa. Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani . Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…