Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,735
- 12,437
Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati mwingine uchizi na wazazi walikuwa wakiwazuia watoto wao kuvuta si kwa ajili ya afya bali kuwakinga na uhuni
Nilichogundua vijana wengi ni wahuni wa asili kulingana na malezi na makuzi hasa ya usingle mother kwahiyo wanatumia bangi kama kisingizio kuwa ndio inawafanya wawe wahuni na walolanduka na mitabia ya ajabu ajabu kama vile matusi nk,
Haihitaji bangi kuwa na mitabia ya ajabu ajabu acheni kuisingizia bangi mitabia yenu ni asili tu ya uzao wenu sio bangi