ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukitaka ukweli ndani ya chochote wanakimbilia ukali kwanza na vitisho

    Swala lote kutaka ufahamu kuhusu ukweli wa jambo lolote kuhusu sababu au jambo fulani, basi unaweza kupata tatizo au kushambuliwa au kupotea kabisa Sehemu zifuatazo: 1: Imani za dini zote 2: Serikali 3: Ukweli au Uongo 4: Historia n.k Hizi ni sehemu ambazo uwezi kubaki salama duniani
  2. Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  3. Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  4. N

    GSM waambieni watu wenu ukweli kuhusu Kisinda, Djuma Shabani. Simba mmedanganya bei ya Banda

    Waambieni kwamba kisinda alikuja kwa mkopo toka sa vita hamjamuuza kwenda morroco kauzwa na wakala wake ,hivi hizo biashara zenu na as vita zimejaa uongo uongo tu , Dujma shaban ilitakiwa mummpe usd 45,000 dollars kabla ya kumtangaza mkampa 25,000 usd kisha mkamtangaza kakaksirika na kurudisha...
  5. Mwanasaikolojia mahiri wa Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One Dkt. Charity Xavery atoa Ukweli Mchungu

    Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
  6. J

    Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

    TUHUMA ZA UGAIDI ZA MBOWE ZINAWEZA KUWA NA UKWELI WOWOTE? Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu yangu Freeman Mbowe ametiwa hatiani na polisi kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kutaka kuua na kudhuru viongozi wa Serikali. Mbowe alitiwa mbaroni akiwa Jijini Mwanza. Toka namfahamu Mbowe amekuwa na...
  7. Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

    Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao. Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia Sasa ameonyesha ukuu wa...
  8. Tukubali ukweli, Watanzania si watu wa kufanya maandamano. Tusitegemee miujiza

    Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti. Ni muhimu sasa tuwaambie viongozi wa CHADEMA waachane na mkakati huu ambao siku zote unashindwa...
  9. Kati ya Swaraj 855FE na Swaraj 960FE ipi ni mashine ya ukweli?

    Wajuzi wa trakta mpo humu. Fungukeni tupate kujua. Ipi mashine ya ukweli kati ya 855FE na 960FE? Tudokeze na sababu blacksamurai Ulimbo Mkyashinho kidadari DASM Brian72 FURY BORN na wakuu wote
  10. Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
  11. B

    Chanjo: Ufahamu Ukweli Ukuepushe na Makanjanja

    Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo. Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata wasiojulikana na mabunduki yao wakajiunga kwenye harakati hizo kama watendaji wakuu. Tulipo leo ni kwenye...
  12. Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  13. Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  14. R

    Ukweli mchungu: Nani wanahusika kuiba kura kwenye uchaguzi

    FORMER TANZANIAN INTELLIGENCE OFFICER: IN A FREE AND FAIR VOTE, THE OPPOSITION WINS by Evarist Chahali ( ni article ya 2015 but worthy reading) Jasusi, who is going to win the election?.” This is a question I have been asked a lot lately. “Jasusi” is a Swahili word for spy – the moniker I am...
  15. N

    Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Wadau Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe. Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
  16. Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

    Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza chanjo basi wangetengeneza chanjo ya UKIMWI. Watu kama Kigwangalla wakatoa kauli kupinga chanjo...
  17. J

    #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  18. K

    Ukweli lazima usemwe, aliyetufikisha hapa ni Nyerere

    Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia. Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere. Yeye ndo alitaka "a strong executive with necessary control of the legislature", alitaka katiba...
  19. B

    Hotuba ya Mbowe Mwanza Ilivyopotoshwa ili Kuuficha Ukweli

    Ninalazimika kuuleta uzi huu baada ya hatimaye kupata nafasi kuisikiliza sehemu ya hotuba ya mheshimiwa Mbowe: Katika hotuba hii, sioni popote penye tatizo lolote na mtanzania yeyote: 1. Kwamba kuna wagonjwa wa Corona na watu wanakufa nchini kote? 2. Kwamba wahanga hawa wanalazimika...
  20. Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

    Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako. Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara. Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…