ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mbowe kweli ni ya ugaidi ukweli?

    Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu. Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORISM" Kesi hii washtakiwa karibu wote ni MAKOMANDO" au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

    Unafiki siyo tusi wala neno baya. Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki. Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  5. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

    Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium! Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

    Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu. Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli za MANARA!! Ilishaatoka hiyo!! Na ndiyo ukweli wenyewe!!

  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunapaswa kuambiwa na kujua ukweli kwamba Gesi inayochimbwa Mtwara si yetu

    Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema. Gesi inayochimbwa Mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania. Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu. Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake tunaowahonga

    Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu. Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila...
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya ni kikwazo, iliyopo ifanyiwe marekebisho ili kukidhi mahitaji ya sasa

    Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura. Hakuna kificho kuwa tangu mwaka 1977 ilipotungwa katiba ya JMT taifa letu limepata mabadilijo makubwa. Na kadiri mabadadiliko...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Kwa miaka 60 sasa, kiakili bado tupo utumwani kwa wakoloni weusi (kiutawala) wananchi sisi ndio mzigo

    February 2018, Kampuni za umeme, Australia zilitakiwa kulipa fidia kwa wakazi wa Victoria, nchini Australia waliothirika kwa kukosa umeme, malipo ya $180 kutegemeana na muda ambao 'nyumba ilikosa umeme'. Zilitengwa $5M. Umeme ulikatika kati ya saa 3—20. Huku kwetu Mabwepande, umeme unakatwa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    By Zitto kupitia twitter: Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi? Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ellen G. White alifariki mnamo Julai 16, 1915 akiwa na umri wa miaka 87 huko Elmshaven, California

    UKWELI WA KUVUTIA KUHUSU MAMA ELLEN G. WHITE: 1. Ellen ni miongoni mwa watu walioamini kwamba Kristo angerudi Oktoba 22, 1844. 2. Mnamo 1846 Ellen aliolewa na mhubiri wa Kiadventista James Springer White, ambaye alikutana naye kwenye safari ya Orrington mnamo 1845. 3. Ellen na James walikuwa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

    Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je interview inayohitaji ulipie Aptitude test ni ya ukweli au longolongo?

    Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form (attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Makolo mulibwanji?😄😄 NAWEKA REKODI SAWA JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID? Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
Back
Top Bottom