ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

    Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je hili lina ukweli wowote dada zangu

    Nazani maelezo yana jitosheleza.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wasioweza kuchuja ukweli na utapeli, mzigo mwingine huu hapa:CDC wame-prove kisa cha kwanza cha Monkey Pox US

    The Centers for Disease Control and Prevention (CDC) and the Texas Department of State Health Services says it has confirmed the first case of Monkey Pox in the US on July 15. This was detected in a U.S. resident who recently traveled from Nigeria to the United States. The person is currently...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Evolution ni Ukweli au Nadharia tu?

    Mwaka 1859 mwanabaiolojia Charles Darwin alichapisha kitabu chake kuhusu chanzo cha viumbe wote duniani chenye jina “On the origin of species” Kilichoelezea theory yake ya evolution. Darwin alisema kwamba hivi viumbe vyote tunavyoviona leo (Aina Zaidi ya million 8.6) vikizagaa kwenye uso wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongo kuwa ukweli: Corona yenye ukubwa wa 0.1micrometer, tumeaminishwa kitazuiwa kupita kwenye barakoa yenye kitundu cha 5-100 micrometer

    Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa walipouaminisha ulimwengu kuwa, kuvaa barakoa kutamlinda mvaaji na maambukizi ya corona! Cha ajabu hata...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, kuna kila dalili Mbowe anaisaliti CHADEMA

    Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake. Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee. Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake...
  7. JamiiForums Tanzania Ishu ya mitihani kuvuja Serikali ituambie ukweli, Waziri kujichanganya maana yake kuna kitu hakipo sawa

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake ndio maana hadi Spika amezungumzia na kuamua kuiweka hoja hiyo pebeni kwa muda "Suala la uvujaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  10. JamiiForums Tanzania Usemi wa kuwa tajiri hafungwi huenda ukawa na ukweli

    Ilikua ni familia ya watoto watatu, wa kwanza wa kike, wa pili wa kiume na watatu wa kike. Yule mtoto wa kwanza alimaliza darasa la 12 na kupelekwa kwa mama mdogo kujifunza ujuzi. Mume wa mama mdogo ni mbunge na ana biashara nyingi ikiwemo mini supermarket, mgahawa na nyumba ya kulala wageni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  13. JamiiForums Tanzania Sema ukweli wako....

    Kiupande wangu sijapata jibu ila nafikiri Mbinguni tutafika tuu kikubwa mkono uende kinywani
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu HR Firm ya Job Junction na ukusanyaji wake wa CV za watu

    Wadau Kuna HR firm inajiita Job junction, ofisi zao zipo Makumbusho. Wanakusanya CV za vijana then wanawambia walipe pesa kwa ajili ya registration kwa makubaliano kwamba watasambaza CV zenu kwa ajili ya kuwatafutia kazi. Kwa wanowafahamu hawa jamaa tutiririke inaweza saidia vijana wengine.
  15. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi kufupisha na pia sina uzoefu sana kuandika makala za namna hii hivyo kiswanglish na typos...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

    Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu. Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri. Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni...
  17. JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

    leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais aambiwe ukweli kuwa si vyema kutulinganisha sisi na Marekani

    Mwambieni Colorado kima cha chini cha mshahara ni 15.87$ kwa saa Inamaanisha kwa 8hrs mtu wa chini analipwa 126.96$ kwa Mwezi mtu wa Washington dc analipwa 3,808.8$ ambayo ni sawa na 8,851,484..tsh, Majimbo yanayolipa pesa ndogo kabisa yapo 20 na kwa saa wanalipa 7.25$ kwa 8hrs ni 58$ mara mwezi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Nadharia Potofu na Ukweli Juu ya Magonjwa ya Figo

    Wazo Potofu: Magonjwa yote ya figo ni hatari. Ukweli: La, magonjwa yote ya figo si hatari. Yakitambuliwa na kutibiwa mapema, magonjwa mengi ya figo yanaweza kuponywa. Kwa mengi, utambuzi na matibabu hupunguza au kusimamisha kuendelea kwa magonjwa hayo. Wazo Potofu: Hitilafu ya figo huweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…