ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa hili la Rais Mstaafu wa Marekani kushitakiwa halina ukweli unatupotosha

  3. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky bado anaweweseka; anashindwa kukubaliana na ukweli kuwa Bakhmut imeshatekwa

    Zelensky anatia huruma, hataki kuamini kuwa habari za kutekwa Bukhmut ni halisi!! Anatamani iwe ni kama ndoto ili atakapotoka usingizini aseme Ah! kumbe ni ndoto tu. Lakini huo ndio ukweli, aliwekeza nguvu zake zote kuilinda ngome yake kubwa ya Bukhmut. Wakati msaidizi wake amekubali kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

    Anaandika, Robert Heriel Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia hazihitaji Uhalisia/ukweli. Na sio Wanawake tuu hata baadhi ya wanaume wanaotumia hisia hawapendi Ukweli...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo

    Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza Wafayabiashara. Kero zao zitatuliwe isiwe zuga tu ya kuwatuliza

    Habari, Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo. Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

    Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya? Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe. Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi. Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

    Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili (legal advocates) tendeni haki kwa wateja wenu, wambieni ukweli wa mashauri yao

    Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa. Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

    Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu. Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

    Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao. Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao...
  13. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

    Sina mengi.. Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini nikisikia hata hapa Bakanja inapigwa lazima ni-feel amani kabisa na kutingisha kichwa polepole. Long...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli ndani yake

  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasikitisha sana wakuu
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo. Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…