Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya...
Haya maeneo ambayo Ukraine hataki kwenda meza ya mazungumzo pasipo kukabidhiwa
.Russia amekwapua maeneo hayo kwa ajili ya mkakati wake wa kuikabili NATO.
Kama Ukraine atang'ang'ana na mpango wake wa kwenda NATO hayo maeneo asahau katika ramani ya Ukraine.
Ukraine ameshupaza shingo na NATO yake...
Hali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la juu la vifo vya viumbe aina ya Nyangumi ambavyo vimehisiwa ni kutokana na ongezeko la vyombo vya baharini (manowali) baharini. Aidha miungurumo ya Helkopta na makombora yanayopita juu ya bahari pamoja na milipuko ya chini ya bahari inatajwa pia...
Ukraine imetaja madai ya Urusi kama "propaganda" kwamba imeua mamia ya wanajeshi wa Ukraine katika shambulio.
Moscow ilidai, bila kutoa ushahidi wowote, kwamba "shambulio kubwa la kombora" katika mji wa mashariki wa Kramatorsk limeua zaidi ya wanajeshi 600 wa Ukraine.
Urusi imedai kuwa ilikuwa...
More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow
The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says
More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the...
More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow
The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says
More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the...
Marekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine.
Tusichukulie sentensi hili kirahisi maana wakati huu tunaweza kuzungumzia kuanzishwa kwa mifumo ya kubadilisha mchezo(game-changing systems).
magari 50 ya mapigano ya Bradley yaliyotengenezwa...
Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako.....
Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
Rais #VladmirPutin amechukua uamuzi huo baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, #PatriakiKirill, kupendekeza kusitishwa kwa #RussiaUkraineWar kuanzia adhuhuri ya Ijumaa Januari 7 hadi saa 2 asubuhi Jumapili Januari 8, 2023.
Kanisa la #Kiorthodoksi, ambalo hutumia Kalenda ya zamani ya...
Baada ya Urusi kushindwa Ukraine, ilibidi watumie wafungwa, kundi la kwanza ambalo limerudi kutoka Ukraine limeachiwa huru ila kwa kuombwa wasibake wanawake...
The first batch of Russian prisoners who were offered amnesty in return for fighting in Ukraine has been released, the head of Wagner...
Wadadisi wa mambo Wanasema ni mwanzo mzuri🤔
...
https://www.express.co.uk/news/world/1717211/Ukraine-war-Russia-tank-weapons-Bonus-battlefield-combat-live
Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89.
Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
Mitandao ya Warusi hakukaliki, bloggers wanatukana serikali hadi balaa, yaani jana wanajeshi 400 wameuawa kwa HIMARS, halafu drones 39 za Iran zilizotumwa kwa mkupuo kupiga uraiani zote zimeshushwa, hivi vita vinazidi kuwa mfupa mgumu kwa Warusi, vinatamausha...
Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023.
Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
Hii vita na huu mzozo wa Ukraine kwa ujumla ungeweza kuwa umemalizika, lakini kuna wakubwa wasiotamani kabisa vita hivyo vikome.
Wanataka vita viendelee hadi pale wanayoyahitaji yatimie.
Mataifa ya magharibi yanaendelea kunufaika kidiplomasia dhidi ya Urusi, kutokana na huu mzozo...
Wednesday, December 28.2022
For people who are confused about why U.S. politicians and the West, in general, are so hell-bent on helping Ukraine beat back Russia’s invasion and are convinced that it is something more than just to hide Biden family corruption in the country, Russian officials...
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana.
Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group.
Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
Hawa jamaa sijui huvuta bangi ya aina gani, eti hawana historia au desturi ya kuingilia mambo ya nchi za watu, ilhali kule Ukraine wanaiba hadi ardhi.....
Russia has said it is invariably committed to its principle of not interfering in the domestic affairs of other countries, including...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.