ukraine

  1. Shujaa Mwendazake

    Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

    Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
  2. Mrengwa wa kulia

    Belarus kujaribu kuokoa jahazi la Urusi, yatoa msaada

    Wafuatiliaji wa shughuli za kijeshi wamesema kwamba rais wa Belarus Alexander Lukashenko anatoa msaada wa kijeshi na silaha kwa Russia katika vita vinavyoendelea Ukraine. Belarus imeruhusu karibu wanajeshi wa Russia waliosajiliwa hivi karibuni kupokea mafunzo nchini humo, huku ikitoa karibu...
  3. MK254

    Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

    Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
  4. M

    Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

    Marekani ilijinasibu sana kuwa imeshapeleka air defense system za hali ya juu lakini bado jiji la Kiev linapata kipigo cha mbwa mwizi kila urusi ikitaka. Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]...
  5. JanguKamaJangu

    Uchunguzi wabainisha Kombora lililoishambulia Poland lilitokea Ukraine

    Kombora hilo limesababisha vifo vya watu wawili katika Kijiji kimoja Nchini Poland lilirushwa na vikosi vya Ukraine wakati vikizuia mashambulizi kutoka kwa Urusi Maofisa wa Marekani ambao hawakutaka kutaja majina yao wamebainisha kuwa tukio hilo lilitokea wakati Urusi ikishambulia miundombinu...
  6. Sigonella Island

    Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Russia imerusha kombora na kutua Poland Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported. Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
  7. MK254

    Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

    Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake. ========= Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
  8. MK254

    Ukraine waapa kutoachia hata kipande cha ardhi, waendelea kusonga mbele

    Mapigano makali yanaendelea, wazalendo wa Ukraine wanazidi kusonga mbele, vitabu vya historia vitaandikwa kuwakumbuka hawa vijana namna walijitoa mhanga kukomboa ardhi yao, mito yao, mashamba yao, milima yao, bendera yao. Tangu Mrusi alipojaribu kuparamia Kyev, vijana walijitokeza kwa kubeba...
  9. MK254

    Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

    Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine. Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris. Yakifungwa...
  10. M

    Mji wa KHERSON umekumbwa na giza totoro

    Mji wa KHERSON ambao Ni miongoni mwa majimbo 4 yaliyonyakuliwa na Urusi umekumbwa na mashambulizi makali ya Maroketi kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine. Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Njia tatu za usafirishaji umeme na maji na kusababisha mji huo kukosa umeme na maji. Hayo yanajiri huku...
  11. Shujaa Mwendazake

    Maelfu waandamana Italia kupinga upelekwaji wa silaha Ukraine

    Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
  12. eliakeem

    Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  13. M

    Marekani inaomba "po" kiaina: Inaiambia Ukraine ikubali mazungumzo ya amani na Urusi!!

    Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi bali kuna dalili ya Ukraine kuanguka na tunapozunguza Crimea iliota mbawa hiyo 2014 na juzijuzi majimbo...
  14. 5

    Ndege 8 za Shaheed zaangushwa na jeshi la Ukraine

    Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk . Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
  15. M

    Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

    Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev. Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev. Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
  16. M

    Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

    Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi. ======= US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon Amid an onslaught...
  17. kavulata

    Ukraine kama Rwanda na Urusi kama DR Congo

    Nchi za Magharibi na Marekani ziko nyuma ya migogoro ya Ukraine na DR Congo. Nchi hizi zinaisaidia Ukraine kuishambulia Urusi na Rwanda kuishambulia DR Congo kwa maslahi yao. Migogoro duniani haitakwisha hadi hapo nchi zinazoendelea zitakapopata ujasiri wa kususia misaada na mikopo kutoka nchi...
  18. Webabu

    Uiengereza kuipelekea Ukraine majenereta ya umeme

    Wakati ambapo zaidi ya asilimia 40 ya mji mkuu wa Kyiv ukiwa hauna umeme baada ya miundombinu yake kushambuliwa na Urusi, serikali ya Uiengereza imeweka wazi mpango wake wa kuipatia msaada wa majenreta nchi hiyo kukabiliana na ukosefu wa umeme ambao ni muhimu katika msimu huu wa baridi...
  19. C

    Grain ships zimeshatoka Odessa, Ukraine Kwa escort ya Turkey Naval forces bila ruhusa ya Putin

    Putin aligoma kuruhusu melibza nafaka kutoka Ukrain, na akatishia kupiga blacksea blockade. Sasa Meli zimetoka Chini ya escort ya Turkey Navy Bila usumbufu wowote. Russian Navy base ilipigwa na drone pale Sevastopol, Crimea. For just reference: 1. Turkey has a 2nd largest army of any...
  20. M

    (Ukraine) anajisifu: Ngumi kumi, nimekwepa tisa ni moja tu ndio ilinipata, kinachoonekana dogo amechakaa usoni, uso umevimba na macho hayaoni!

    Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko! Asilimia 80 ya mji mkuu kiev hauna maji, na umeme na kila jimbo la ukraine hali ni mbaya hawana maji na umeme!! Kisa dogo...
Back
Top Bottom