ukraine

  1. MK254

    Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

    Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO... Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
  2. MK254

    Makombora yenye shabaha kali kupewa Ukraine, zege hailali, hii ndio fursa sasa

    Ukraine kupewa makombora yenye uwezo wa kupiga kwa shabaha kali sana, likatumwa ndipo linapiga... Kipindi hiki Urusi imelemazwa na Ukraine ndio muda muafaka wa kuwezeza Ukraine pakubwa, zege hailali, Urusi isipewe fursa ya kuamka tena.... ================== Western allies pledged precision...
  3. MK254

    Hela ya Urusi iliyotaifishwa kutumika Ukraine, hivi Putin hadi aguswe wapi ndio afanye kweli

    Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule... =================== Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
  4. Messenger RNA

    Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

    Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita. Kulingana na Netanyahu...
  5. M

    Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

    Leo jumatano Wizara ya Ulinzi ya Marekani inajiandaa kutangaza msaada mpya wa kijeshi Kwa Ukraine wenye thamani ya $ 2.2B. Msaada huo Kwa mara ya kwanza utajumuisha makombora ya Masafa marefu ya GROUND LUNCHED SMALL DIAMETER BOMB (GLSDB) yenye uwezo wa kupiga umbali wa 150km. Hata hivyo...
  6. MK254

    Urusi yaanza kulialia kuhusu vifaru anavyopewa Ukraine

    Yalalamika vikali kwanini Ukraine inapewa madubwana ya kuipiga Urusi. ========= Russia said on Thursday it saw the promised delivery of Western tanks to Ukraine as evidence of direct and growing U.S. and European involvement in the conflict. The Kremlin was reacting for the first time to...
  7. M

    WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

    Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3. Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya...
  8. Mtanga90

    Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

    Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine. Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na Ujerumani ambavyo wanasema ivtawasaidia kuishinda Urusi. Lakini Ujerumani bado haijatoa magari ya...
  9. B

    Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

    Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia. Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake? Wako wapi wanasheria wetu? Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
  10. I

    Silaha ya mfumo wa kinga ya anga S-400 ya Russia yaangamizwa na Ukraine

    Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana. Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia...
  11. Roving Journalist

    Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  12. I

    Kwanini vifaru aina ya Leopard 2 Tanks ni muhimu kwa Ukraine?

    Kwa siku za hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiiomba sana Ujerumani wawapatie vifaru vya kivita aina ya Leopard 2 Tanks ambavyo wengi wa wataalam wa kivita wanaamini kwamba vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika vita kati ya Russia na Ukraine. Sasa ni kwa vipi silaha hii inaonekana kama "Game...
  13. Kichuguu

    Muhimu Kukumbuka History: Putin + Ukraine = Hitler + Czechoslovakia

    Nimeona nikumbushie kidogo kutoka katika Historia kuwa Tarehe 16 March 1938, Hitler alivamia eneo la Czechoslovakia la Sudetenland kwa madai kuwa eneo hilo lilikuwa na wajerumani wengi ambao walikuwa wakionewa na utawala wa Czechoslovakia. Wakati huo Hitler alikuwa na jeshi kubwa sana kiasi...
  14. BARD AI

    Ndugu wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine walala matanga siku 10 wakisubiri mwili

    Ndugu wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamedai hadi sasa wametumia siku 10 kuusubiri mwili wa ndugu yao kwa kulala matanga. Taarifa zinaeleza kuwa kifo cha Nemes aliyekuwa...
  15. MK254

    Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

    Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani. Federal news agency The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
  16. M

    Ukraine wanajikanyagakanyaga kueleza jinsi ghorofa mjini Dnepr lilivyobomolewa na kombora

    Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
  17. Webabu

    Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

    Kwa mara nyingine Urusi imeendelea kupiga maeneo mbali mbali ya Ukraine ambapo jengo moja la ghorofa 9 limeporomoshwa huko Oblast ya Kherson. Katika hotuba yake ya usiku wa jana raisi Zelensky wa Ukraine amesifu uzalendo wa wananchi wake ambao wameshiriki katika shughuli ya uokoaji wa wahanga...
  18. Sigonella Island

    Urusi inatisha. Mpaka sasa Ukraine na NATO wanapigana na kampuni binafsi ya Kijeshi bado Urusi haijaingia vitani

    Katika kile kinachoonekana ni ukomavu na uwezo mkubwa Kijeshi wa Shirikisho la Russia imepelekea mataifa ya magharibi kuunda shirika la kujihami (NATO) dhidi ya Russia na mataifa mengine yenye nguvu kubwa kama China. Kutokana na sera za Russia kutokuingilia siasa za mataifa mengine West kwa...
  19. Webabu

    Mji wa Ukraine wa Soledar umetekwa lakini waliokufa wengi ni Warusi. Ipo vipi hii?

    Jeshi la Ukraine pamoja na msaada mkubwa wa NATO linazidi kuishiwa nguvu na hata habari za mrejesho kwa wafadhili wake. Mji umezingirwa tangu Agosti na hatimae warusi wawe ni kutoka Wagner au wapi lakini wamewatimua Waukreni kwenye machimboj ya chumvi yenye mapango mengi. Cha ajabu UK ambaye...
  20. Shujaa Mwendazake

    Wagner Group: Wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa huko Soledar ama wamejisalimisha au wameuawa

    Soledar Down! Hawa Wagner si ndo tuliambiwa wamesambaratishwa?. Anyway Kherson Offensive iliishia mtoni na hakuna offensive yeyote mpaka sasa. Time will tell. Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena Soma: Ukrainian soldiers surrounded in...
Back
Top Bottom