Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu!
Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
Biblia inasema Mungu anajua kila kitu, all knowing, alpha na Omega, mwanzo na mwisho, mjuzi wa vyote.
Sasa nakua najiuliza, kabla ya kuomba ama wakati unaanza kuomba, je mungu anakua anajua in advance unachotaka kuomba ama anakua hajui hadi uombe kwanza?
Na kama anakua anajua utakachokiomba...
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake...
Naweka hapa nukuu niliyoambiwa na mmoja wa mjumbe wa kamati yao maalum ya unyangindo (uchawi) juu ya kupendelewa kwoo jana na Mwamuzi (Referee) hadi kushinda kwa janja janja sana.
"GENTAMYCINE baada ya watu kutushtukia kuwa tulikuwa na tuhonga wachezaji au benchi zima la ufundi, hivi sasa...
Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali.
Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu.
Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila...
Habar wadau!!!
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa mara nying sana siri ya nguvu zake akusema ila kwa delila alisema yote shida ipo wapi shida ni...
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo...
TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI.
Anaandika Robert Heriel,
Mtibeli.
Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi.
Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.
So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
Saikolojia ya mwanaume iko hivi...
Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla.
Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa tamaa, wao kila mwanamke anamtamani tu. Hiyo ndio sababu sasa.
Yani iko hivi, mwanaume akishamgonga...
Peace be upon you all,
Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"
Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu...
Hii ndio Tanzania unayo ijuwa Hayati baba wa Taifa huko kaburini ana wish afufuke aje awachape viboko. Taifa alilo lijenga na kuweka misingi yake limetumbukia zama mpya zama zinatisha kuliko zama za ukoloni.
Mwalimu ktk moja ya hotuba zake kuna wakati alilisema hili nadhani watu wachache sana...
Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma?
Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali.
WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
Mpingo ndio unafaa kwa kuchonga kinyago. Hivyo hivyo,tukitaka kujenga Taifa lazima kwanza tuwe na watu wanaoridhia kuwa Taifa moja.
Vinginevyo, mahusiano katika Taifa yanakuwa kama ndoa ya kulazimishwa.
Modern state inahitaji Kiongozi awe mmoja tu katika mioyo ya watu. Nilipokuwa China, wakati...
1. Siku hizi kuna Wanaume kwani?
2. Sina hata haja na Wanaume.
3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu.
4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu.
5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae.
6. Wanaume ni Waongo sana.
7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.