Fanya yafuatayo ukitaka usivamiwe sana na vibaka au hata wakuokoe kwenye hatari

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda

2. Ukibakiza vichenji chenji wape

3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie

4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa

5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na kama ukisikia kuna Kazi yoyote (hasa za Kawaida tu) waunganishe / watafutie

6. Usiwe na Kiherehere Kingi cha Kuwachomesha kwa Polisi mpaka labda itokee sana na imebidi

7. Ukiwa nao Maskani unapiga Story Mbili Tatu penda mara kwa mara kuingizia Mambo ya Kiimani ( hasa ya Mwenyezi Mungu ) na jinsi ya kuwa Mwema hapa duniani na kutubu ili kuyaanza Maisha mapya na mema

Ukiyafanya haya mambo Makuu Saba (7) Tajwa hapa nakuhakikishia kuwa hata ukiwa unaishi nao Mtaani unaweza hata Kukaa miaka 20 wasikufanye lolote lile na ukashangaa.

Kwa KEROZENE kuandika haya (hivi) sisemi kuwa nawapenda au nawaunga mkono hawa Wahalifu bali nimejaribu tu kuwapeni Mbinu ya Kisaikolojia ya kuweza Kuishi nao na Kuwakabili pia bila ya wao Kukudhuru kwa lolote / chochote.

Nina Mtu hapa Majuzi kati Usiku mida ya Saa 7 Gari yake ilimsumbua na alikuwa Safarini hivyo akabidi aje Kulala Ghettoni Kwangu na akiwa njiani na Kukutana nao akiwa na Simu zake Mbili za thamani na Hela mfukoni walipomuweka Mtu kati ili Kumdhuru huku wakimhoji akasema anakuja kwangu KEROZENE na kilichofuatia wakaachana na Mpango wao huo na kumsindikiza hadi Ghettoni Kwangu na Kunigongea kisha nikaamka na wakanikabidhi Mgeni wangu huku Wawili wakisema watalilinda Gari lake mpaka Asubuhi hivyo asiwe na Wasiwasi.

Tulipoamka Asubuhi na kuanza harakati za Kushughulikia Gari lake Jamaa yangu alipowaona akatoa Tsh 10,000/= kama Asante yake Kwao na kwa Mshangao Jamaa waliikataa na kumwambia wakiipokea hiyo Hela itakuwa ni kama vile wananilipisha Mimi Kaka yao wa Mtaa kwani huwa nawasaidia mno wakiwa na Shida.

Baada ya Jamaa yangu kuona Tukio lile na nikamuelezea Mishe zao zote za Kimatukio Mtaani (Mitaani) ameshawatafutia Watatu kati yao Kazi katika DalaDala zake na sasa wamebaki kama Wanne baada ya wengine pia Kuwaunganisha katika Mishe za Ujenzi, Uvuvi na Ulinzi.

Tuwasaidie na kamwe tusiwadidimize!
 
1. Penda Kujichanganya nao Kupiga Stori ukiwa na muda

2. Ukibakiza Vichenji chenji wape

3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie

4. Ukisikia Mmoja wao Kakamatwa onyesha hata Kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa

5. Wakosoe kwa Kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na kama ukisikia kuna Kazi yoyote ( hasa za Kawaida tu ) waunganishe / watafutie

6. Usiwe na Kiherehere Kingi cha Kuwachomesha kwa Polisi mpaka labda itokee sana na imebidi

7. Ukiwa nao Maskani unapiga Story Mbili Tatu penda mara kwa mara kuingizia Mambo ya Kiimani ( hasa ya Mwenyezi Mungu ) na jinsi ya kuwa Mwema hapa duniani na Kutubu ili kuyaanza Maisha mapya na mema

Ukiyafanya haya mambo Makuu Saba ( 7 ) Tajwa hapa nakuhakikishia kuwa hata ukiwa unaishi nao Mtaani unaweza hata Kukaa miaka 20 wasikufanye lolote lile na ukashangaa.

Kwa KEROZENE kuandika haya ( hivi ) sisemi kuwa nawapenda au nawaunga mkono hawa Wahalifu bali nimejaribu tu kuwapeni Mbinu ya Kisaikolojia ya kuweza Kuishi nao na Kuwakabili pia bila ya wao Kukudhuru kwa lolote / chochote.

Nina Mtu hapa Majuzi kati Usiku mida ya Saa 7 Gari yake ilimsumbua na alikuwa Safarini hivyo akabidi aje Kulala Ghettoni Kwangu na akiwa njiani na Kukutana nao akiwa na Simu zake Mbili za Thamani na Hela mfukoni walipomuweka Mtu kati ili Kumdhuru huku wakimhoji akasema anakuja Kwangu KEROZENE na kilichofuatia wakaachana na Mpango wao huo na Kumsindikiza hadi Ghettoni Kwangu na Kunigongea kisha nikaamka na wakanikabidhi Mgeni wangu huku Wawili wakisema watalilinda Gari lake mpaka Asubuhi hivyo asiwe na Wasiwasi.

Tulipoamka Asubuhi na kuanza harakati za Kushughulikia Gari lake Jamaa yangu alipowaona akatoa Tsh 10,000/= kama Asante yake Kwao na kwa Mshangao Jamaa waliikataa na kumwambia wakiipokea hiyo Hela itakuwa ni kama vile wananilipisha Mimi Kaka yao wa Mtaa kwani huwa nawasaidia mno wakiwa na Shida.

Baada ya Jamaa yangu kuona Tukio lile na nikamuelezea Mishe zao zote za Kimatukio Mtaani ( Mitaani ) ameshawatafutia Watatu kati yao Kazi katika DalaDala zake na sasa wamebaki kama Wanne baada ya wengine pia Kuwaunganisha katika Mishe za Ujenzi, Uvuvi na Ulinzi.

Tuwasaidie na kamwe tusiwadidimize!!!!
Ni kweli kabisa niliwahi kukaa mtaa mmoja aise mpaka nahama sikuwahu kuibiwa wala kukabwa, niliishi nao hivo
 
Nakumbuka siku ile nimeumwa sana na mbu kwa ajili yakulinda gari la mshikaji sema kuna mwamba mmoja baada ya kuona tunasinzia alitaka kuanza kutembeza spana bahati nzr nikaamka nikamwambia aache hizo pigo za kingese akatulia sema yule ni member mpya kwenye crew
 
Mtaani juzi hapa wameiba kwa jamaa fulani hivi.
Wamepuliza dawa ndani usiku wakavunja wakaiba kila kitu isipokuwa kitanda tuu jamaa alicholalia na familia yake.
Hatari sana asee unapuliza dawa hivyo ya nusu kaputi unaweza kuwalaza watu mazima.
Wamemaliza kuiba wakajisaidia haja zote hapo wakaondoka kwa imani kwamba jamaa asiwaloge
 
1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda

2. Ukibakiza vichenji chenji wape

3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie

4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa

5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na kama ukisikia kuna Kazi yoyote (hasa za Kawaida tu) waunganishe / watafutie

6. Usiwe na Kiherehere Kingi cha Kuwachomesha kwa Polisi mpaka labda itokee sana na imebidi

7. Ukiwa nao Maskani unapiga Story Mbili Tatu penda mara kwa mara kuingizia Mambo ya Kiimani ( hasa ya Mwenyezi Mungu ) na jinsi ya kuwa Mwema hapa duniani na kutubu ili kuyaanza Maisha mapya na mema

Ukiyafanya haya mambo Makuu Saba (7) Tajwa hapa nakuhakikishia kuwa hata ukiwa unaishi nao Mtaani unaweza hata Kukaa miaka 20 wasikufanye lolote lile na ukashangaa.

Kwa KEROZENE kuandika haya (hivi) sisemi kuwa nawapenda au nawaunga mkono hawa Wahalifu bali nimejaribu tu kuwapeni Mbinu ya Kisaikolojia ya kuweza Kuishi nao na Kuwakabili pia bila ya wao Kukudhuru kwa lolote / chochote.

Nina Mtu hapa Majuzi kati Usiku mida ya Saa 7 Gari yake ilimsumbua na alikuwa Safarini hivyo akabidi aje Kulala Ghettoni Kwangu na akiwa njiani na Kukutana nao akiwa na Simu zake Mbili za thamani na Hela mfukoni walipomuweka Mtu kati ili Kumdhuru huku wakimhoji akasema anakuja kwangu KEROZENE na kilichofuatia wakaachana na Mpango wao huo na kumsindikiza hadi Ghettoni Kwangu na Kunigongea kisha nikaamka na wakanikabidhi Mgeni wangu huku Wawili wakisema watalilinda Gari lake mpaka Asubuhi hivyo asiwe na Wasiwasi.

Tulipoamka Asubuhi na kuanza harakati za Kushughulikia Gari lake Jamaa yangu alipowaona akatoa Tsh 10,000/= kama Asante yake Kwao na kwa Mshangao Jamaa waliikataa na kumwambia wakiipokea hiyo Hela itakuwa ni kama vile wananilipisha Mimi Kaka yao wa Mtaa kwani huwa nawasaidia mno wakiwa na Shida.

Baada ya Jamaa yangu kuona Tukio lile na nikamuelezea Mishe zao zote za Kimatukio Mtaani (Mitaani) ameshawatafutia Watatu kati yao Kazi katika DalaDala zake na sasa wamebaki kama Wanne baada ya wengine pia Kuwaunganisha katika Mishe za Ujenzi, Uvuvi na Ulinzi.

Tuwasaidie na kamwe tusiwadidimize!
popoma katika udada-vuzi wako wa mambo.
 
You are gifted. There is greatness in you. Nimejifunza Godbless Mkuu.
 
Hayo ndomaisha aliyoishi yesu Cristo wambinguni alishinda na kula nao nakupiga stori nawatu waliotengwa na jamii Kama hao vibaka na makahaba......hapa bunju hata bodaboda hua situmii mzigo wangu naita mmoja peleka nyumbani na unafika mzigo
 
1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda

2. Ukibakiza vichenji chenji wape

3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie

4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa

5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na kama ukisikia kuna Kazi yoyote (hasa za Kawaida tu) waunganishe / watafutie

6. Usiwe na Kiherehere Kingi cha Kuwachomesha kwa Polisi mpaka labda itokee sana na imebidi

7. Ukiwa nao Maskani unapiga Story Mbili Tatu penda mara kwa mara kuingizia Mambo ya Kiimani ( hasa ya Mwenyezi Mungu ) na jinsi ya kuwa Mwema hapa duniani na kutubu ili kuyaanza Maisha mapya na mema

Ukiyafanya haya mambo Makuu Saba (7) Tajwa hapa nakuhakikishia kuwa hata ukiwa unaishi nao Mtaani unaweza hata Kukaa miaka 20 wasikufanye lolote lile na ukashangaa.

Kwa KEROZENE kuandika haya (hivi) sisemi kuwa nawapenda au nawaunga mkono hawa Wahalifu bali nimejaribu tu kuwapeni Mbinu ya Kisaikolojia ya kuweza Kuishi nao na Kuwakabili pia bila ya wao Kukudhuru kwa lolote / chochote.

Nina Mtu hapa Majuzi kati Usiku mida ya Saa 7 Gari yake ilimsumbua na alikuwa Safarini hivyo akabidi aje Kulala Ghettoni Kwangu na akiwa njiani na Kukutana nao akiwa na Simu zake Mbili za thamani na Hela mfukoni walipomuweka Mtu kati ili Kumdhuru huku wakimhoji akasema anakuja kwangu KEROZENE na kilichofuatia wakaachana na Mpango wao huo na kumsindikiza hadi Ghettoni Kwangu na Kunigongea kisha nikaamka na wakanikabidhi Mgeni wangu huku Wawili wakisema watalilinda Gari lake mpaka Asubuhi hivyo asiwe na Wasiwasi.

Tulipoamka Asubuhi na kuanza harakati za Kushughulikia Gari lake Jamaa yangu alipowaona akatoa Tsh 10,000/= kama Asante yake Kwao na kwa Mshangao Jamaa waliikataa na kumwambia wakiipokea hiyo Hela itakuwa ni kama vile wananilipisha Mimi Kaka yao wa Mtaa kwani huwa nawasaidia mno wakiwa na Shida.

Baada ya Jamaa yangu kuona Tukio lile na nikamuelezea Mishe zao zote za Kimatukio Mtaani (Mitaani) ameshawatafutia Watatu kati yao Kazi katika DalaDala zake na sasa wamebaki kama Wanne baada ya wengine pia Kuwaunganisha katika Mishe za Ujenzi, Uvuvi na Ulinzi.

Tuwasaidie na kamwe tusiwadidimize!
Genta kaja kivingine maamaeee
 
Umeandika ukweli mtupu, nakumbuka mara ya kwanza nimehamia Sinza mtaa wa Mugabe au kamanyola kama unavyojulikana kwa wengine, siku dalali ananipeleka kukiona chumba hali ilikuwa shwari kabisa na vijana hawakuepo yaani ni kama vile aliwashtua waondoke,basi nikakiona chumba na kukipenda hivyo nikafanya malipo kwa baba wenye nyumba wangu ambaye ni kijana mdogo msela tu baadae nilikuja kufahamu kuwa nyumba ile aliirithi kutoka kwa babu yake.

Siku ya kuhamia pale nilishangaa kukuta vijana wengi wakiume na wakike wamekaa karibu na chumba changu wakivuta bangi, kunywa pombe na kupiga soga, kimoyomoyo nikamlaani dalali kwa kunileta pale ila nikajipa moyo kuwa nitaweza kukaa tu mbona wengine wamekaa maana kulikuwa na daktari wa Mwananyamala nae alikuwa amepanga hapo pia, basi nikawasabahi na kuingiza vitu vyangu ndani ya chumba changu. Baada ya kukaa kama wiki nakaanza kuwa naongea nao na kuwanunulia pombe kali aina ya viroba na bangi, iliyokuwa inauzwa na mdogo wake na baba wenye nyumba. Baadae sana nikagundua kuwa madada poa wengi uja pale kununua na kuvuta bangi maana kuna usalama kwani eneo lilikuwa na uzio, yaani kuna kipindi madada poa na wauhuni walikuwa wanajaa kupitiliza.

Ila sikuacha utamaduni wangu wa kuwanunulia bangi, sigara na pombe pindi nipatapo nafasi, aisee walinipenda mno na kwa muda nilioishi pale sikuwahi kuibiwa chochote, kuna kipindi kitasa kilikuwa kimeharibika, baba mwenye nyumba akaniambia niwe naegesha tu mlango hakuna wa kuniibia, amini usiamini nilikuwa naacha vitu vya thamani ndani lakini sikuibiwa kamwe hata kuna siku nilisahau hela nyingi kidogo mezani kweupe kabisa, japo kuna muhuni aliingia kuchukua pasi ila hela zangu nilizikuta zote, wale madada poa wengi wao ni video vixens siku hizi nilipokuwa nakutana nao maeneo ya unywaji walikuwa wanang'ang'aniza kuninunulia vinywaji, nilikuwa nawakwepa ila kuna nyakati nilikuwa nagida tu.

katika maisha usije ukamdharau mtu, hata watu tunaowaona ni wa ovyo nao wana umuhimu wao, mara moja moja kuwa karibu nao ila usishiriki mambo yao, hakika watakuheshimu na kukupa msaada siku na eneo ambalo hauwezi kuamini, mimi nilipokuwa Sinza kulikuwa hakuna mhuni wa kunikaba hata usiku wa manane nilikuwa nakatiza tu bila wasiwasi, kwa kuwa wahuni wengine walikuwa wanakuja kutoka maeneo mengine kama Buguruni, Manzese nk kuja kuvuta bangi pale, nilijikuta nafahamia na wahuni wa mitaa mingi, yaani kama umenitangulia halafu tukapita uchochoro mmoja, utakabwa mimi wengeniacha salama.
 
Tatizo asilimia kubwa ya vibaka ni waraibu wa madawa ya kulevya. Unapokuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya hata uwe na busara kiasi gani, ukipigwa na alosto tu unaweza mkaba hata mama yako mzazi.
Kama ukichunguza wengi wao huwa na maono makubwa sana na uwezo mkubwa mno wa kujenga hoja pale wanapokuwa hawana alosto. Unamuona kabisa ana majuto ya dhati juu ya tabia yake. Ila akipigwa na alosto utu wake wote hupotea.
Kibaka ana mithilika na mnyama pori, unaweza mfuga, ukamlisha na kumtunza lakini siku moja tu ile instinct yake ya unyamapori ikiingia anakumaliza.
 
Umeandika ukweli mtupu, nakumbuka mara ya kwanza nimehamia Sinza mtaa wa Mugabe au kamanyola kama unavyojulikana kwa wengine, siku dalali ananipeleka kukiona chumba hali ilikuwa shwari kabisa na vijana hawakuepo yaani ni kama vile aliwashtua waondoke,basi nikakiona chumba na kukipenda hivyo nikafanya malipo kwa baba wenye nyumba wangu ambaye ni kijana mdogo msela tu baadae nilikuja kufahamu kuwa nyumba ile aliirithi kutoka kwa babu yake.

Siku ya kuhamia pale nilishangaa kukuta vijana wengi wakiume na wakike wamekaa karibu na chumba changu wakivuta bangi, kunywa pombe na kupiga soga, kimoyomoyo nikamlaani dalali kwa kunileta pale ila nikajipa moyo kuwa nitaweza kukaa tu mbona wengine wamekaa maana kulikuwa na daktari wa Mwananyamala nae alikuwa amepanga hapo pia, basi nikawasabahi na kuingiza vitu vyangu ndani ya chumba changu. Baada ya kukaa kama wiki nakaanza kuwa naongea nao na kuwanunulia pombe kali aina ya viroba na bangi, iliyokuwa inauzwa na mdogo wake na baba wenye nyumba. Baadae sana nikagundua kuwa madada poa wengi uja pale kununua na kuvuta bangi maana kuna usalama kwani eneo lilikuwa na uzio, yaani kuna kipindi madada poa na wauhuni walikuwa wanajaa kupitiliza.

Ila sikuacha utamaduni wangu wa kuwanunulia bangi, sigara na pombe pindi nipatapo nafasi, aisee walinipenda mno na kwa muda nilioishi pale sikuwahi kuibiwa chochote, kuna kipindi kitasa kilikuwa kimeharibika, baba mwenye nyumba akaniambia niwe naegesha tu mlango hakuna wa kuniibia, amini usiamini nilikuwa naacha vitu vya thamani ndani lakini sikuibiwa kamwe hata kuna siku nilisahau hela nyingi kidogo mezani kweupe kabisa, japo kuna muhuni aliingia kuchukua pasi ila hela zangu nilizikuta zote, wale madada poa wengi wao ni video vixens siku hizi nilipokuwa nakutana nao maeneo ya unywaji walikuwa wanang'ang'aniza kuninunulia vinywaji, nilikuwa nawakwepa ila kuna nyakati nilikuwa nagida tu.

katika maisha usije ukamdharau mtu, hata watu tunaowaona ni wa ovyo nao wana umuhimu wao, mara moja moja kuwa karibu nao ila usishiriki mambo yao, hakika watakuheshimu na kukupa msaada siku na eneo ambalo hauwezi kuamini, mimi nilipokuwa Sinza kulikuwa hakuna mhuni wa kunikaba hata usiku wa manane nilikuwa nakatiza tu bila wasiwasi, kwa kuwa wahuni wengine walikuwa wanakuja kutoka maeneo mengine kama Buguruni, Manzese nk kuja kuvuta bangi pale, nilijikuta nafahamia na wahuni wa mitaa mingi, yaani kama umenitangulia halafu tukapita uchochoro mmoja, utakabwa mimi wengeniacha salama.
Gharama za pombe ulizowanunulia miaka yote ungetafuta chumba ushuani
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom