ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. vnn

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Muafrika ana asili ya Ujinga na upumbavu angalia kinachoendelea sasaivi ndani ya CHADEMA

    Ni kwanini nchi za Africa haziendelei Ujinga Upumbavu Ubinafsi CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya, Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

    Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe. Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike. #No reform no Election.
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

    Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga. Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  5. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kupata Papuchi, Usiitake. Yenyewe ndo itakutaka. Yamenikuta

    Huyu bidada nlikutana naye ofisi moja hivi nikampenda maana utadhani mtutsi au msomali. Shape anayo, sura anayo, rangi anayo. Akili? Sijui. Anyway mi sina lengo la kumsomesha wala kumtungia mitihani. Hayanihusu. Mjini tunabadilishana biz cards. Na tukaona tuseviane numbers pia. Basi nikawa busy...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

    Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

    SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia...
  12. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

    Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi . Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote. Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo . Kupata kibali cha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

    Watu wanapitia mengi ila inabaki kuwa siri sirini....mkiambiwa utajiri ni siri muwe mnaelewa. sawa vijana wapenda Shortcut??
  16. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

    Amani kwenu Mwendo kasi ni mateso Mwendo kasi ni maumivu Mwendo kasi ni majonzi Mwendo kasi ni utungu Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman YESU njoo Africa tunateseka jaman
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

    Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Mwanamke atoroke kwa Nyumba, kula hii mbichi

    UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya mambo yako kwa Amani, usiamini Mtu.

    Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku na kijana wangu, tukafika sehemu kupata Juice (Juice Point) Kwa amani ngoja niulize bei ya juice...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ku enjoy maisha ya ndoa, is mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya kiislamu

    Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu. Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa. Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
Back
Top Bottom